Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uiweke mkoa ganiMambo vp wakuu...
Naomba mwenye kuelewa au uzoefu wa biashara ya daladala aina ya coster au hiace..
Nilikuwa na kama 20Ml naitaji kuchukua hiace used niiweke barabarani je ni zipi changamoto za biashara hii?
Hiace used inaweza ikawa changamoto labda used Japan.!Mambo vp wakuu...
Naomba mwenye kuelewa au uzoefu wa biashara ya daladala aina ya coster au hiace..
Nilikuwa na kama 20Ml naitaji kuchukua hiace used niiweke barabarani je ni zipi changamoto za biashara hii?
Nimekupata mkuu ntaliangalia Hilo piaHaice used inaweza ikawa changamoto labda used japan.!
Hesabu ya hiace mara nyingi 30,000 mpaka 40,000 per day.
Lakini ukichukua bajaj 2 hesab 20000@ na bajaj service ni ndogo pia zitakua mpya service yake ni oil tu.
Kwa 20m unapata bajaj 2 na chanji inabaki.
Ukiamua kununua bajaj dereva nipo hapa.!
Sawa,Nimekupata mkuu ntaliangalia Hilo pia
Sasa wewe unaongozwa na ubinafsi kwenye ushauri wako!!Haice used inaweza ikawa changamoto labda used japan.!
Hesabu ya hiace mara nyingi 30,000 mpaka 40,000 per day.
Lakini ukichukua bajaj 2 hesab 20000@ na bajaj service ni ndogo pia zitakua mpya service yake ni oil tu.
Kwa 20m unapata bajaj 2 na chanji inabaki.
Ukiamua kununua bajaj dereva nipo hapa.!
Hivi hiyo biashara ya bajaji, hiyo hesabu ya 10,000/= kwa siku ni ya uhakika? Maana bajaji zimekuwa nyingi mno!Haice used inaweza ikawa changamoto labda used japan.!
Hesabu ya hiace mara nyingi 30,000 mpaka 40,000 per day.
Lakini ukichukua bajaj 2 hesab 20000@ na bajaj service ni ndogo pia zitakua mpya service yake ni oil tu.
Kwa 20m unapata bajaj 2 na chanji inabaki.
Ukiamua kununua bajaj dereva nipo hapa.!
10,000 ni hesabu ya bodaboda.Hivi hiyo biashara ya bajaji, hiyo hesabu bya 10,000/= kwa siku ni ya uhakika? Maana bajaji zimekuwa nyingi mno!
Inawezekana ni kweli unachosema lakini hata wewe ukipata pesa fuata ushauri wangu labda kwa mkoa uliopo wewe.Sasa wewe unaongozwa na ubinafsi kwenye ushauri wako!!
Nikupe uzoefu wangu kwenye hizi biashara ambazo ''kijana'' anapigia debe sana biashara fulani na anakumbia inalipa sana, na yuko tayari kuifanya kama utamwezesha.Hivi hiyo biashara ya bajaji, hiyo hesabu bya 10,000/= kwa siku ni ya uhakika? Maana bajaji zimekuwa nyingi mno!
Naona hii ndo post yako ya kwanza jf tangu unazaliwa sio!!? Joke.Aseeeeh!!!! wadau mm kam kuna ishuu yoyotee ile kazi yani msisite kunambia kwa nMba hii 0718283585!!! napambana sanaaa lakn wapiii nahitaji harakatii wazee ntashukuruu sanaa yanii kazi yoyotee
Niko Mwanza na Nina wazo kama la kwako,To be honest mi ni mtumishi wa umma lakini Huwa naamini sana katika biashara ya hiace. Nimeamua kuchukua mil 15 ninunue used hapa hapa Mwanza, niupgrade driving licence yangu Ili nikiinunua niiendeshe mwenyewe Kwa muda usiopungua miezi mitatu, konda ntamtafuta Mimi atashika mlango.Mambo vp wakuu...
Naomba mwenye kuelewa au uzoefu wa biashara ya daladala aina ya coster au hiace..
Nilikuwa na kama 20Ml naitaji kuchukua hiace used niiweke barabarani je ni zipi changamoto za biashara hii?
Kafie mbele, hatuna mudaMambo vp wakuu...
Naomba mwenye kuelewa au uzoefu wa biashara ya daladala aina ya coster au hiace..
Nilikuwa na kama 20Ml naitaji kuchukua hiace used niiweke barabarani je ni zipi changamoto za biashara hii?
Usije ukakaa ukawaza huo ujinga, bora ufungue kijiwe cha kahawaMambo vp wakuu...
Naomba mwenye kuelewa au uzoefu wa biashara ya daladala aina ya coster au hiace..
Nilikuwa na kama 20Ml naitaji kuchukua hiace used niiweke barabarani je ni zipi changamoto za biashara hii?
Mkoa gani huo Mkuu?Inawezekana ni kweli unachosema lakini hata wewe ukipata pesa fuata ushauri wangu labda kwa mkoa uliopo wewe.
Nilipo mimi watu wanauza coasta wananunua bajaj maana abiria hawapandi bus wanataka express bajaj.
Shukran mkuu ntakuchek PM tuongee zaidNiko Mwanza na Nina wazo kama la kwako,To be honest mi ni mtumishi wa umma lakini Huwa naamini sana katika biashara ya hiace. Nimeamua kuchukua mil 15 ninunue used hapa hapa Mwanza, niupgrade driving licence yangu Ili nikiinunua niiendeshe mwenyewe Kwa muda usiopungua miezi mitatu, konda ntamtafuta Mimi atashika mlango.
Kwa muda ambao ntakuwa naingia kazini asbh Niko Tyr gari ifanye kazi nusu siku(nikitoka kazini) Baada ya miezi mitatu ntamkatia konda lessen then atakuwa anaingia barabarani kama Niko kazini, ila siku ambayo siko kazini Niko na usukani. ACHA NIWE MWEHU.
BROTHER, usikilize moyo wako pamoja na ushauri mzuri utakaopata humu JF,mda mwingine mtu hufanikiwa au kupata hasara kulingana na userious wake ukoje. Kwamfano,Mimi Niko tyr kufanyà hii biashara bila kujali. Bro nifate inbox tuongee hata kwa kupeana namba za simu.