Zipi changamoto za biashara ya daladala aina ya coaster au hiace?

0897

Member
Joined
Feb 25, 2022
Posts
39
Reaction score
92
Mambo vp wakuu...

Naomba mwenye kuelewa au uzoefu wa biashara ya daladala aina ya coaster au hiace..
Nilikuwa na kama 20Ml nahitaji kuchukua hiace used niiweke barabarani je ni zipi changamoto za biashara hii?
 
Mambo vp wakuu...

Naomba mwenye kuelewa au uzoefu wa biashara ya daladala aina ya coster au hiace..
Nilikuwa na kama 20Ml naitaji kuchukua hiace used niiweke barabarani je ni zipi changamoto za biashara hii?
Uiweke mkoa gani
 
Hiace used inaweza ikawa changamoto labda used Japan.!

Hesabu ya hiace mara nyingi 30,000 mpaka 40,000 per day.

Lakini ukichukua bajaj 2 hesabu 20000@ na bajaj service ni ndogo pia zitakuwa mpya service yake ni oil tu.

Kwa 20m unapata bajaj 2 na chanji inabaki.

Ukiamua kununua bajaj dereva nipo hapa.!
 
Haice used inaweza ikawa changamoto labda used japan.!

Hesabu ya hiace mara nyingi 30,000 mpaka 40,000 per day.

Lakini ukichukua bajaj 2 hesab 20000@ na bajaj service ni ndogo pia zitakua mpya service yake ni oil tu.

Nimekupata mkuu ntaliangalia Hilo pia
 
Haice used inaweza ikawa changamoto labda used japan.!

Hesabu ya hiace mara nyingi 30,000 mpaka 40,000 per day.

Lakini ukichukua bajaj 2 hesab 20000@ na bajaj service ni ndogo pia zitakua mpya service yake ni oil tu.

Kwa 20m unapata bajaj 2 na chanji inabaki.

Ukiamua kununua bajaj dereva nipo hapa.!
Sasa wewe unaongozwa na ubinafsi kwenye ushauri wako!!
 
Hivi hiyo biashara ya bajaji, hiyo hesabu ya 10,000/= kwa siku ni ya uhakika? Maana bajaji zimekuwa nyingi mno!
 
Hivi hiyo biashara ya bajaji, hiyo hesabu bya 10,000/= kwa siku ni ya uhakika? Maana bajaji zimekuwa nyingi mno!
10,000 ni hesabu ya bodaboda.
Bajaj hesabu ni 20,000 kwa siku.

Inafika tu maana havili mafuta ki vile, mafuta kidogo ruti nyingi.!
 
Sasa wewe unaongozwa na ubinafsi kwenye ushauri wako!!
Inawezekana ni kweli unachosema lakini hata wewe ukipata pesa fuata ushauri wangu labda kwa mkoa uliopo wewe.

Nilipo mimi watu wanauza coasta wananunua bajaj maana abiria hawapandi bus wanataka express bajaj.
 
Hivi hiyo biashara ya bajaji, hiyo hesabu bya 10,000/= kwa siku ni ya uhakika? Maana bajaji zimekuwa nyingi mno!
Nikupe uzoefu wangu kwenye hizi biashara ambazo ''kijana'' anapigia debe sana biashara fulani na anakumbia inalipa sana, na yuko tayari kuifanya kama utamwezesha.

Tahadhari, tahadhari tahadhari. Mara nyingi (kama siyo mara zote) kunakuwa hakuna ukweli na ukiingia kichwa kichwa fedha yako itapotea. Ni hivi: mtu anapokuwa jobless anakuwa disparate kupata kitu cha kufanya hivyo ubongo wake unakuwa bias kupima mambo.

Utaambiwa biashara ya viatu inalipa na utapewa mahesabu mazuri kweli kweli na utaona baada ya mwaka utakuwa umepiga hatua. Ingia sasa uone muziki wake. Kila siku utakutana na sababu mpya na sababu zitaendelea mpaka mtaji utakaisha.
 
Bajaji hesabu ni 20,000 Mbeya zipo nyingi sana na zinazidi kununuliwa lakini hesabu boda inalaza 20 kwa siku bila wasiwasi kwa sasa bajaji inalipa sana. Japokuwa kavutia kwake ila ukweli ni kuwa bajaji ukilinganisha na hiace bajaji itakupa faida.
 
Aseeeeh!!!! Wadau mimi kam kuna ishuu yoyotee ile kazi yani msisite kunambia kwa namba hii 0718283585!!! Napambana sanaaa lakini wapiii nahitaji harakatii wazee nitashukuruu sanaa yanii kazi yoyotee
 
Aseeeeh!!!! wadau mm kam kuna ishuu yoyotee ile kazi yani msisite kunambia kwa nMba hii 0718283585!!! napambana sanaaa lakn wapiii nahitaji harakatii wazee ntashukuruu sanaa yanii kazi yoyotee
Naona hii ndo post yako ya kwanza jf tangu unazaliwa sio!!? Joke.
Ila fanya mpako utumie jina lisilo halisi hapo juu naona umeweka majina yako 3 yaliyopo kwenye cheti cha kuzaliwa.!!!

Sote tunapambana mkuu, nikipata chimbo nitakustua lkn unaweza ukaanza na mahali ulipo kama kuna mtu anapikpk ongea nae ikiwezekana andaa wadhamin upewe chombo si haba huwezi kosa posho 5000 per day baada kutoa hesabu ya boss.
Mwanzo itakusumbua lkn baada ya muda utaenjoy.!
 
Mambo vp wakuu...

Naomba mwenye kuelewa au uzoefu wa biashara ya daladala aina ya coster au hiace..
Nilikuwa na kama 20Ml naitaji kuchukua hiace used niiweke barabarani je ni zipi changamoto za biashara hii?
Niko Mwanza na Nina wazo kama la kwako,To be honest mi ni mtumishi wa umma lakini Huwa naamini sana katika biashara ya hiace. Nimeamua kuchukua mil 15 ninunue used hapa hapa Mwanza, niupgrade driving licence yangu Ili nikiinunua niiendeshe mwenyewe Kwa muda usiopungua miezi mitatu, konda ntamtafuta Mimi atashika mlango.

Kwa muda ambao ntakuwa naingia kazini asbh Niko Tyr gari ifanye kazi nusu siku(nikitoka kazini) Baada ya miezi mitatu ntamkatia konda lessen then atakuwa anaingia barabarani kama Niko kazini, ila siku ambayo siko kazini Niko na usukani. ACHA NIWE MWEHU.

BROTHER, usikilize moyo wako pamoja na ushauri mzuri utakaopata humu JF,mda mwingine mtu hufanikiwa au kupata hasara kulingana na userious wake ukoje. Kwamfano,Mimi Niko tyr kufanyà hii biashara bila kujali. Bro nifate inbox tuongee hata kwa kupeana namba za simu.
 
Kafie mbele, hatuna muda
 
Mambo vp wakuu...

Naomba mwenye kuelewa au uzoefu wa biashara ya daladala aina ya coster au hiace..
Nilikuwa na kama 20Ml naitaji kuchukua hiace used niiweke barabarani je ni zipi changamoto za biashara hii?
Usije ukakaa ukawaza huo ujinga, bora ufungue kijiwe cha kahawa
 
Inawezekana ni kweli unachosema lakini hata wewe ukipata pesa fuata ushauri wangu labda kwa mkoa uliopo wewe.

Nilipo mimi watu wanauza coasta wananunua bajaj maana abiria hawapandi bus wanataka express bajaj.
Mkoa gani huo Mkuu?
 
Niko Mwanza na Nina wazo kama la kwako,To be honest mi ni mtumishi wa umma lakini Huwa naamini sana katika biashara ya hiace. Nimeamua kuchukua mil 15 ninunue used hapa hapa Mwanza, niupgrade driving licence yangu Ili nikiinunua niiendeshe mwenyewe Kwa muda usiopungua miezi mitatu, konda ntamtafuta Mimi atashika mlango.

Kwa muda ambao ntakuwa naingia kazini asbh Niko Tyr gari ifanye kazi nusu siku(nikitoka kazini) Baada ya miezi mitatu ntamkatia konda lessen then atakuwa anaingia barabarani kama Niko kazini, ila siku ambayo siko kazini Niko na usukani. ACHA NIWE MWEHU.

BROTHER, usikilize moyo wako pamoja na ushauri mzuri utakaopata humu JF,mda mwingine mtu hufanikiwa au kupata hasara kulingana na userious wake ukoje. Kwamfano,Mimi Niko tyr kufanyà hii biashara bila kujali. Bro nifate inbox tuongee hata kwa kupeana namba za simu.
Shukran mkuu ntakuchek PM tuongee zaid
 
Back
Top Bottom