Hiace used inaweza ikawa changamoto labda used Japan.!
Hesabu ya hiace mara nyingi 30,000 mpaka 40,000 per day.
Lakini ukichukua bajaj 2 hesabu 20000@ na bajaj service ni ndogo pia zitakuwa mpya service yake ni oil tu.
Kwa 20m unapata bajaj 2 na chanji inabaki.
Ukiamua kununua bajaj dereva nipo hapa.!