Zipi changamoto za biashara ya daladala aina ya coaster au hiace?

Zipi changamoto za biashara ya daladala aina ya coaster au hiace?

Daladala ni jini mufilisi, limewafanya watumishi wengi kufa masikini kwa kuwekeza kwenye daladala.
 
Iyo biashara kama hauna hela unategemea hiace moja ndio ikulishe ufanye service sjui nn itakutesa na utaikimbia angalau uwe nazo kwanzia3 tena ziwe chuma zmesimama hapo utaiweza
 
Hiace used inaweza ikawa changamoto labda used Japan.!

Hesabu ya hiace mara nyingi 30,000 mpaka 40,000 per day.

Lakini ukichukua bajaj 2 hesabu 20000@ na bajaj service ni ndogo pia zitakuwa mpya service yake ni oil tu.

Kwa 20m unapata bajaj 2 na chanji inabaki.

Ukiamua kununua bajaj dereva nipo hapa.!
hahaaaaaa! unamtoa kwenye reli
 
Back
Top Bottom