Zipi dalili za mtu aliyepungukiwa sukari mwilini ?

Zipi dalili za mtu aliyepungukiwa sukari mwilini ?

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
9,140
Reaction score
15,963
Naomba kujua dalili za mtu alipungukiwa sukari mwilini kabisa.
Asanteni
 
Naomba kujua dalili za mtu alipungukiwa sukari mwilini kabisa.
Asanteni

Kwanza ni vyema kufahamu kuwa kuna wakati si rahisi kujua kwa dalili kuwa hapa sukari imeshuka ua imepanda. Ingawa kwa watu wa afya, historia huweza kusaidia kujua nini kinaendelea. Ushauri huwa ni kupima ili kujua nini hasa kinaendelea kwa uhakika, kwa ujumla dalili hutegemea ni kwa kiasi gani tatizo husika ni kubwa.
Dalili huusisha:

[*]kutoka jasho sana
[*]njaa kali
[*]kizunguzungu
[*]uchovu uliopitiliza
[*]kusikia kichwa kinakuwa chepesi
[*]kutetemeka
[*]kichefuchefu au kutapika
[*]ulimi kukauka/kutetemeka
[*]kuchanganyikiwa
[*]ganzi kwenye ulimi
[*]kutokuona vyema
[*]kujisikia kusinzia
[*]kichwa kuuma
[*]kuwa mkali
[*]kuwa mwenye wasiwasi
[*]moyo kwenda mbio
[*]ganzi mwili mzima
[*]kuongea wakati huwezi kutamka maneno vizuri
[*]kupoteza fahamu
 
Asanteni sana jamani.
Kutoka jasho sana, kutetemeka, moyo kwenda mbio, kuchoka, kizunguzungu, macho kuona kiza na nyenginezo.
Ngoja waje kukupa muongozo...

Chache:
uchovu uliyopitiliza, kutokwa sana na jasho, kwenda haja ndogo mara Kwa mara...
 
Naomba kujua dalili za mtu alipungukiwa sukari mwilini kabisa.
Asanteni

Aliyepungukiwa sukari mwilini "KABISA", kupungukiwa kabisa ni nini??!!.

Aliyepungukiwa sukari au asiyekuwa na sukari mwilini kabisa??!

Nyoosha Kiswahili mkuu.
 
Back
Top Bottom