Zipi faida na hasara za pikipiki za umeme za kuchaji?

Zipi faida na hasara za pikipiki za umeme za kuchaji?

Mr Q mfano:

Screenshot_20221002-132752.png
 
Shukran sasa sio lazima iwe moedl hiyo macho angalia ni muundo tu uelekeane na hizo mtumba second hand kwa mtu sawa tu
Kwa Dar, kupata ni kumtafuta jamaa anaitwa Mwingila au ingia FB tafuta group linaitwa Hot Bikes in Dar.
 
Ukitaka kujua ubora wa kampuni katika mauzo ya bidhaa au huduma zake tazama aftersales services na treatments.

Ukiona wateja wanadharauliwa na kutreatiwa kama takataka jua hakuna ubora hata kidogo, ila ukiona wateja baada ya kuhudumiwa wanaendelea kusikilizwa na kutatuliwa kero zao ndogo ndogo basi hapo nenda bila shida.
 
Back
Top Bottom