hakuna cha bure kuleHivi vifaa unavosema so ndio vile kwenye tangazo lao LA TV, wanasema vinatolewa bure kwa kila mama mjamzito wakati Wa kujifungua!? Na nimarufuku kuuziwa! Kiufupi Huduma za kujifungua ni bure, utacholipia ni malazi na complication zozote zitazotokea za kimatibabu.
Lakini kama wanavosemaga damu haiuzwi, ila unapokuwa na Shida ndo utajua inauzwa? au inabidi uwe na hela ndo uipate!
Mara ya mwisho naenda chumba cha sindano nakutana na nesi mtu mzima,namuamkia "shikamoo" kanijibu "nishaamkiwa sana toka asubuhi sema shida yako uondoke" japo nlikua naogopa sindano siku ile nilitulia tuliii maana nimeogopa hata ningetingishika angeweza nitia hata dole kwa hasira.Mi naona bora hata manesi watu wazima, hawa wadada wadada ndio shida....
Sina bima mkuu.Huna bima mkuu!? Ungetaja na mkoa uliopo ili kama kuna wajuzi wakupe coordinates za kituo kizuri na gharama zake. Vituo vya afya vingi vipo poa tu, sema kwa emergency cases za uzazi ni bora uwe katika vituo vikubwa maana hawachelewi kukuambia ambulance mbovu na wakati kishanuka.
Pole kwa kujifungua kwa CS na hongera kwa kujifungua. Good news ni kwamba siku ukiwa na bima utahudumiwa vizuri.Nina bima ya nhif. Nimejifungua 3 weeks ago. Cjatoa hata mia pamoja nimefanyiwa c section. Huduma nzuri na nilienjoy zoez... Hosp ya gvt Benjamin mkapA - dodoma
Kwa hospitali za serikali ni za wilaya au mikoa. Vituo vya afya bado haviko well equipped na inapotokea complications wanarefer hospital ya wilaya au mkoa sasa huo mlolongo wote unaweza jikuta umepoteza mtoto au mama mmemsababishia morbidity. Kwa ushauri wangu kama unaenda kituo cha afya hakikisha hicho kituo kina doctors na midwives wa kutosha, operating theater, anaesthetist na vifaa vya kutoshaNipo Morogoro,sijajua ni hospitali ipi ya serikali huku inatoa huduma bora kwa wajawazito,wenyeji mnaweza kunishauri
Wakuu habari za mchana?
Natumaini mko sawa na mishe kama kawa zinasogea.
Nimebahatika kupata mwanamke mzuri ambae mpaka ninapoandika uzi huu ni mjamzito na mungu akijaalia mwezi ujao tunatarajia kupata mtoto.
Kulingana na hali ya uchumi nimeona ni vyema kujiandaa financially mapema atleast nijue ni kiasi gani kinaweza kutosha kulipa gharama katika hospitali za Serikali?
Wenye uzoefu naomba msaada na mawazo katika jambo hili.Asanteni
Hapo kwa Hosp ya wilaya ila taifa 140 na kitu hv inakaribia 150Ni kuwa na vifaa vyake vya kujifungulia tu! Gharama yake haizidi 50,000
Nenda Hosp za wilaya utaona mabandiko gharama za kujifungua kawaida na upasuaji ni tofauti sasa cjui ukisema bure unamaanisha hosp za serikal za namna gn,?Kujifungua kama ni government bure labda vifaa tu uwenavyo, ila kama ni private andaa pesa na ujauzito ni kipindi ambacho unatakiwa kujiandaa kiuchumi kidogo ndomana tunashauriwa hata sie mahospital tuwe tuweka vijiakiba maana chochote kinaeza kutokea kimatumizi,
Haaa haaaa!!! Umekua mtu wa kwanza kunichekesha leoMara ya mwisho naenda chumba cha sindano nakutana na nesi mtu mzima,namuamkia "shikamoo" kanijibu "nishaamkiwa sana toka asubuhi sema shida yako uondoke" japo nlikua naogopa sindano siku ile nilitulia tuliii maana nimeogopa hata ningetingishika angeweza nitia hata dole kwa hasira.
Hapo kwa Hosp ya wilaya ila taifa 140 na kitu hv inakaribia 150