Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Halafu kale ka IRENE kangu now days nimekuwa sikaelewi elewi ngoja nisome comment nijuwe ipi Bora.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maambukizi mapya ndiyo risk zaidiSiyo risk sana
☹️Maambukizi mapya ndiyo risk zaidi
True that ,japo wapimaji wengi huwa wanajiamini maana mara nyingi sana hupimana
Ni kweli kabisaTrue that ,japo wapimaji wengi huwa wanajiamini maana mara nyingi sana hupimana
Ushauri mzuri sana HuuNenda kavu kavu ndio utaenjoy zaidi
mtu wa ibada hujikingi na mimba zisizotarajiwa mtumishi au mnataka mpate watoto ovyo mseme shetani kanikaziaKwani ile activity sio ibada?
Hujui kuna sala kabla na baada ya tendo?
Mchepuko mpya??Nina game tarehe 23,ngoja nisome kila comment.
Ndugu Polisi na Jeshi la Tanzania, ninawaandikia leo kwa moyo mzito. Kama raia wa Tanzania, tuna wasiwasi mkubwa kuhusu uamuzi wa hivi karibuni wa kutoa bandari na viwanja vya ndege vyetu kwa makampuni ya kigeni. Huu ni usaliti wa imani yetu na tishio kwa usalama wa taifa letu. Bandari zetu na viwanja vya ndege ni muhimu kwa uchumi wetu. Ndio lango la nchi yetu na njia ambazo bidhaa na huduma zetu hutiririka. Pia ni muhimu kwa usalama wa taifa letu. Zinaturuhusu kuagiza bidhaa na vifaa muhimu, na zinaturuhusu kutayarisha nguvu na ushawishi katika eneo. Uamuzi wa kutoa bandari na viwanja vyetu vya ndege kwa makampuni ya kigeni ni kitendo cha kizembe na cha kutowajibika. Itatufanya tuwe hatarini zaidi kwa shinikizo la kiuchumi na kisiasa kutoka kwa mataifa ya kigeni. Pia itarahisisha magaidi na wahalifu wengine kuingia nchini mwetu. Tunakuomba wewe Jeshi la Polisi na Jeshi la Tanzania kusimama kwa ajili ya nchi yetu. Tunakuomba utumie uwezo na ushawishi wako kulinda bandari zetu na viwanja vya ndege dhidi ya udhibiti wa kigeni. Pia tunakuhimiza uchunguze watoa maamuzi ambao walifanya uamuzi huu wa kizembe na wa kutowajibika. Sisi wananchi wa Tanzania tunadai bandari na viwanja vyetu vya ndege vibaki chini ya udhibiti wetu. Hatutasimama kwa usaliti huu wa uaminifu wetu. Hatutakubali nchi yetu iuzwe kwa maslahi ya nje.Dear Tanzania Police and Military,
I am writing to you today with a heavy heart. As citizens of Tanzania, we are deeply concerned about the recent decision to give our ports and airports to foreign companies. This is a betrayal of our trust and a threat to our national security.
Our ports and airports are vital to our economy. They are the gateways to our country and the channels through which our goods and services flow. They are also essential for our national security. They allow us to import essential goods and equipment, and they allow us to project power and influence in the region.
The decision to give our ports and airports to foreign companies is a reckless and irresponsible act. It will make us more vulnerable to economic and political pressure from foreign powers. It will also make it easier for terrorists and other criminals to enter our country.
We call on you, the Tanzania Police and Military, to stand up for our country. We urge you to use your power and influence to protect our ports and airports from foreign control. We also urge you to investigate the decision-makers who made this reckless and irresponsible decision.
We the people of Tanzania demand that our ports and airports remain under our control. We will not stand for this betrayal of our trust. We will not allow our country to be sold off to foreign interests.
Sincerely,
The Concerned Citizens of Tanzania
Wadau naomba kujua ni kondomu zipi nzuri kwa tendo, yaani zile ambazo haziumizi na ambazo ukivaa na kufanya tendo kama vile unakula kavukavu.
Ni zipi hizoo?
Tembelea rim bro Ili update dhambi za ukweli😅
Hizo rough rider zinakaa sana dukani hazinunuliwi. Nilipata case kama Yako ilinipasukia. Zinapatikana sana maduka ya madawa, nadhani Zina expire.Zilinipasikia tena mbili ila yeye alisema ana ishu nkavu au pengine iliexpire
Bei gan??Hizo hapo ushindwe mwenyewe…
Aoe aache umalayaHuoi?
RR kupasuka labda km ni uko uswazi wanakotumia zaidi dume na salamaHizo rough rider zinakaa sana dukani hazinunuliwi. Nilipata case kama Yako ilinipasukia. Zinapatikana sana maduka ya madawa, nadhani Zina expire.