Syston
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 243
- 351
Habari wana jamvi, naomba kujuzwa ni haki zipi anazo mtu aliyetuhumiwa kwa kesi fulani anapofikishwa kituo cha polisi kwa mara ya kwanza. Je, anaswekwa rumande moja kwa moja mara afikapo tu kituoni au kuna taratibu za kufuata kabla hajaswekwa rumande? Asanteni.