ZIPI NI HAKI ZA MTUHUMIWA?

ZIPI NI HAKI ZA MTUHUMIWA?

Syston

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2017
Posts
243
Reaction score
351
Habari wana jamvi, naomba kujuzwa ni haki zipi anazo mtu aliyetuhumiwa kwa kesi fulani anapofikishwa kituo cha polisi kwa mara ya kwanza. Je, anaswekwa rumande moja kwa moja mara afikapo tu kituoni au kuna taratibu za kufuata kabla hajaswekwa rumande? Asanteni.
 
Inategemea na aina ya kosa unaloshtakiwam nalo ,kikubwa unaitwa kujibu tuhuma ,kama mazingira yanaruhusu inatakiwa uachiwe kwa dhamana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom