Zipi ni kero za utafutaji wa nyumba za kupanga?

Ntwa A. Katule

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
239
Reaction score
230
Wana JF. Sawubona.. Khunjani.. Uliotia...Ndeipi, muribo, Habari zenu..Salamu hizi kwa wale wanoajua Kizulu, Kixhosa, Luganda, Kishona, na kiswahili...Heri ya sikukuu ya nane nane waungwana. Bila ya shaka mtakuwa mmepumzika na siku hii tulivu.

Ningependa tubadilishane mawazo ya kero zipi zinawakumba watu wanaotafuta nyumba za kupanga.

Nitaanza na mimi. Nauchukia sana mfumo wa udalali, unasaidia kupata nyumba lakini unaleta mzigo kwa mpangaji...Nimeshafungua dimba.. Ruksa kwenu mjimwage na yanayowakera...
 
Jambo linalonikera ni dalali kutaka fedha sawa na kodi ya chumba au nyumba kwa mfano chumba kimoja ni laki moja dalali na yy anataka laki moja hyo ni kero kubwa sana kwangu hua inaumiza sana kichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…