Ntwa A. Katule
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 239
- 230
Wana JF. Sawubona.. Khunjani.. Uliotia...Ndeipi, muribo, Habari zenu..Salamu hizi kwa wale wanoajua Kizulu, Kixhosa, Luganda, Kishona, na kiswahili...Heri ya sikukuu ya nane nane waungwana. Bila ya shaka mtakuwa mmepumzika na siku hii tulivu.
Ningependa tubadilishane mawazo ya kero zipi zinawakumba watu wanaotafuta nyumba za kupanga.
Nitaanza na mimi. Nauchukia sana mfumo wa udalali, unasaidia kupata nyumba lakini unaleta mzigo kwa mpangaji...Nimeshafungua dimba.. Ruksa kwenu mjimwage na yanayowakera...