Mwezeshaji1
Member
- Sep 26, 2023
- 69
- 124
Habari wanajukwaa
Naomba kufahamu zaidi kuhusu kuezeka kwa vigae, kutoka kwa wenye uzoefu.
Swali la nyongeza: Vile vigae vya Nabaki Afrika ambavyo ni vya bati/stainless steel ila vimepigwa layer ya kama mchanga juu, navyo vinazuia joto kama vile vigae vya udongo au hivi vya Nabaki ni kwa ajili ya urembo tu?
Natanguliza shukrani!