Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
- Thread starter
- #41
sure ata mm nakumbuka umu walisemwa wale wajita ndo wana mambo ayoKwahili umewasingizia , asilimia kubwa Binti wa kikurya kwenye ndoa ni mwaminifu sana na kuhusu ushirikina pia sio kweli , nimekaa na jamii hii Nina experience nayo .