AsanteYaani unamiliki benz halafu unakuwa mbishimbishi namna hiyo, mgumu kutoa maelezo sahihi, mimi nilidhani mtu akimiliki benz anakuwa smart
Altezza SXE10?
Kwa nini haifungwi kwenye IST wakati engine ni hio hio?SO aina ya engine sio primary factor kutakuwa na factor nyingine.Nafikiri kama mwanasayansi na sio kama fundi gari.
Mimi nina GX100PLUG gani zafaa? maana linakunywa
Engine ya 3s natumia aina gani kiongozi
Sidhani kama watu huwa wanazingatia hili binafsi nilikuwa sijui,mimi nauza spare but kuna hii iridium plug SK20R11 ni ya pin 1 wengi sana wanaipiga mande,yupo mmoja alitaka kuitia kwenye Corolla 5A-FE engine.
Mafundi wengi mitaani wamewakaririsha watu kwamba plugs zikiwa za sindano ufanisi wa engine unakuwa mzuri zaidi so hata ambaye gari yake haizikubali anaingia kwenye mkumbo.
Acheni kudanganyana kwa kubahatisha. Ukitaka plug sahihi kwa ajili ya gari lako. Ikiwa huwezi kunavigate mtandao mppaka ukapata, nenda kwa wakala au distributor brand ya gari yako kama ni toyota, mitsubishi, benz, bmw etc watakwambia plug sahihi au alternative inayofaa kwenye gari yako.
Kununua plug hovyo hovyo madukani ndiko kunasababisha injection system za magari kuwa za hovyo, zinakosa nguvu na ni kuhatarisha injini.
acheni mazoea ya karne ya 19
Hivi ni kwanini watu wengi wanaamini iridium sana wakati unakuta recommendes ni platinum?PK20R11
Hivi ni kwanini watu wengi wanaamini iridium sana wakati unakuta recommendes ni platinum?
Mimi kwenye Altezza 3SGE niliweka hio SK20R11 gari ikawa ina misfire, nikaweka ya platinum bker6p11 gari ikatulia jamaa mmoja ameniletea Denso IK2#4 sijataka ubishi nimeweka miss ipo kwa mbali sanaNi changamoto. Kama hiyo niiyokutajia ni platnum.
Kuna baadhi ya plug zinafunga kwenye engine nyingi sana. Hivyo baadhi ya watu huingia kwenye mkumbo kudhani zinaweza faa kwenye kila engine.
Japo kiuhalisia Iridium ndio plug ngumu ikifuatiwa na platnum na copper ni ya mwisho.
Ahsante kwa muongozo...
Mimi kwenye Altezza 3SGE niliweka hio SK20R11 gari ikawa ina misfire, nikaweka ya platinum bker6p11 gari ikatulia jamaa mmoja ameniletea Denso IK2#4 sijataka ubishi nimeweka miss ipo kwa mbali sana
YES...ukitaka nikupe mpaka akaunti yangu na jina langu ukathibitishe mimi ni mteja wao. Na ndicho nilichomaanisha. wanavyotaka kadi ya gari yako wanataka kutafuta kipuri sahihi original au mbadala kwa ajili ya gari yako kwa kusoma chasisi number ya gari yako.Nani anamdanganya nani?
Hivi ushajiuliza ukienda toyota msimbazi kule ukitaka kununua plug wanakuambia lete kadi ya gari?
YES...ukitaka nikupe mpaka akaunti yangu na jina langu ukathibitishe mimi ni mteja wao. Na ndicho nilichomaanisha. wanavyotaka kadi ya gari yako wanataka kutafuta kipuri sahihi original au mbadala kwa ajili ya gari yako kwa kusoma chasisi number ya gari yako.
Si lazima uende na kadi ya gari. cha msingi ni kujua chasis namba ya gari yako. wengi mnazorotesha performance ya magari yenu kwa sababu mnadhani spares hasa injection systems unaweza kununua au haijalishi mradi ni plud au oil unamwagia au kupachika tu kwenye injini.
Unatakiwa ujue chasis numbe na ununue replacement sahihi hata kama si original utaambiwa replacement sahihi/mbadala ya gari yako ni hii.
1nz engine model ya toyota Allex ya 2001 plug gani inafaa?View attachment 1785306
Zipo spark plug za aina nyingi sana. Yapo mambo mengi sana yanayoweza kutofautisha spark plug za gari na gari jingine.
Mambo hayo ni
1.Material yaliyotengeneza hizo plug (iridium copper n.k)
2. Urefu wa thread (nyingine zinakuwa na thread ndefu nyingine fupi)
3. Gap (nyingi zina gap la 1.1mm lakini linaweza kuongezeka au kupungua na hawashauri kuliadjust)
4. Idadi ya pini ( pin1, pin 2, pin 3 n.k.
5. Material ya tip (platnum tipped, nickel tipped n.k.)
6. Ncha ya tip (Nyingine ni sindano na nyingine zipo kawaida)
Kwa kifupi hakuna plug ambayo ni best kwa kila gari. Ndio maana, kila engine ina plug zake ambazo ni OEM ameshauri zifungwe.
Kwa baadhi ya engine ukifunga plug ambazo si sahihi matokeo yake inakuwa ni sawa tu na gari ambayo plug zake zimechoka.
Plug zilizochoka zinaweza kuwa na dalili hizi.
1. Kutetemeka engine
2. Gari kuwaka kwa shida.
3. Gari kuzima yenyewe muda mwingine.
4. Matumizi makubwa ya mafuta.
5. Gari kuchelewa kuchanganya. (Poor acceleration).
6. Pia taa ya check engine inaweza kuwaka na kutrigger code namba p0171 system is too lean. Japo hii code inaweza kuletwa na mambo mengi.
Gari yako ina engine gani? Comment model code ya gari lako nikuambie plug sahihi za kufunga.
*******######**********
1. Pia kama unahitaji Diagnosis na marekebisho kwa gari lako karibu Magomeni Mwembechai Dar.
SIMU: 0621 221 606
WHATSAPP: +255 621 221 606
View attachment 1785305
Denso K16R-U11 au Denso FK20HR11 kulingana na model number.
M13ASuzuki swift 1300.