AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
wakuu nauliza hivi ni tilse zipi bora kwa ajili ya nyumba na gharama zake huwa tsh ngapi?mwenye jibu la uhakika anisaidie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tilse ni nin sasa au tiles?wakuu nauliza hivi ni tilse zipi bora kwa ajili ya nyumba na gharama zake huwa tsh ngapi?mwenye jibu la uhakika anisaidie
dar es salamMkuu uko wapi nikuelekeze maduka ya tiles za spanish
Nipo dar, zinapatikana mbezi beach, waweza kuja pmdar es salam
Chek mbezi beach africanadar es salam
MKUU elekeza hadharani ili jf members wengine wanufaike!Nipo dar, zinapatikana mbezi beach, waweza kuja pm
Sikumbuki but hizi zinauzwa kwa square metre tofauti na za kichina. Ni imara sana na ni nene nenda kwenye maduka ya mwawakala wao japo machache sana
Mkuu kuna duka pale africana karibu na boa bankMKUU elekeza hadharani ili jf members wengine wanufaike!
Ni sawa, nimemwambia aende africana coz ndo najua mimi hapo, nashukur kwa nyongeza yakoBei yake no elfu 32 hadi 35 kwa square metre moja, sio lazima aende Africa hata kariakoi zipo ila kama anataka dealers wao kabisa aje Mikocheni kwa Nyerere kuna duka lao kubwa.
Spanish Tiles original nenda pale victoria upande wa kishoto kama unatokea makumbusho kuelekea moroko karibu na jengo la gepf.Bei inaanzia sh45000 kwa square metre.Ila hutajutia.Kumbe hata maghorofa wanayojenga wachina hununua tiles za spanish.Hazibadiliki kamwewakuu nauliza hivi ni tilse zipi bora kwa ajili ya nyumba na gharama zake huwa tsh ngapi?mwenye jibu la uhakika anisaidie
Kwa bei yes ni kati ya 40,000 to 45,000/square metre mkuuSpanish Tiles original nenda pale victoria upande wa kishoto kama unatokea makumbusho kuelekea moroko karibu na jengo la gepf.Bei inaanzia sh45000 kwa square metre.Ila hutajutia.Kumbe hata maghorofa wanayojenga wachina hununua tiles za spanish.Hazibadiliki kamwe