Zipi ni tiles bora kwa nyumba na gharama yake tsh ngapi?

Zipi ni tiles bora kwa nyumba na gharama yake tsh ngapi?

AKILI TATU

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2016
Posts
2,659
Reaction score
2,827
wakuu nauliza hivi ni tilse zipi bora kwa ajili ya nyumba na gharama zake huwa tsh ngapi?mwenye jibu la uhakika anisaidie
 
wakuu nauliza hivi ni tilse zipi bora kwa ajili ya nyumba na gharama zake huwa tsh ngapi?mwenye jibu la uhakika anisaidie
Tilse ni nin sasa au tiles?
Tiles bora ni spanish ukiweza kuzinunua maana ni ghali kwelikweli
 
Sikumbuki but hizi zinauzwa kwa square metre tofauti na za kichina. Ni imara sana na ni nene nenda kwenye maduka ya mwawakala wao japo machache sana

Bei yake ni elfu 32 hadi 35 kwa square metre moja, sio lazima aende Africa hata kariakoi zipo ila kama anataka dealers wao kabisa aje Mikocheni kwa Nyerere kuna duka lao kubwa.
 
Bei yake no elfu 32 hadi 35 kwa square metre moja, sio lazima aende Africa hata kariakoi zipo ila kama anataka dealers wao kabisa aje Mikocheni kwa Nyerere kuna duka lao kubwa.
Ni sawa, nimemwambia aende africana coz ndo najua mimi hapo, nashukur kwa nyongeza yako
 
wakuu nauliza hivi ni tilse zipi bora kwa ajili ya nyumba na gharama zake huwa tsh ngapi?mwenye jibu la uhakika anisaidie
Spanish Tiles original nenda pale victoria upande wa kishoto kama unatokea makumbusho kuelekea moroko karibu na jengo la gepf.Bei inaanzia sh45000 kwa square metre.Ila hutajutia.Kumbe hata maghorofa wanayojenga wachina hununua tiles za spanish.Hazibadiliki kamwe
 
Anachosema BONGOLALA ni sawa. Spanish tiles zinadumu sana. Binafsi nina akiba za Spanish original (zipo feki pía sokoni) za 45 X 45 floor grade 1. Bei ya jumla. Mkihitaji pls PM
 
Spanish Tiles original nenda pale victoria upande wa kishoto kama unatokea makumbusho kuelekea moroko karibu na jengo la gepf.Bei inaanzia sh45000 kwa square metre.Ila hutajutia.Kumbe hata maghorofa wanayojenga wachina hununua tiles za spanish.Hazibadiliki kamwe
Kwa bei yes ni kati ya 40,000 to 45,000/square metre mkuu
 
Back
Top Bottom