Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru mkuu Mvuto sina uhakika, umbile nina 173cm ni mtu wa mazoezi kiasichake, mavazi sinauhakika ila sivai cheap clothes, kwakweli sio mtumiaji wa perfume/sinukii, kwa swala la kuoga mi nimsafi sana tu, Hiyo second third na last inabidi nizifanyie kazi.. Ahsanta sana mkuu.. Hilo darasa linahitajikafirst-Huna mvuto(umbile,sura,jinsi unavyovaa na unavyonukia)kwasababu unapo mface mtu,kitu cha kwanza ni kukuangalia physical appearance yako,kama haukubarikiwa sura,basi ataangalia mavazi(utanashati wako).
second- huna maneno matamu(ya kumtoa nyoka pangoni)unaweza ukawa na mvuto,ila ukifumbua tu mdomo(maneno unayoyatoa na sauti) basi inamkimbiza mtu
third-hauanzi mazungumzo vizuri(umekutana tu na demu unaanza kutoa pumba) pangilia verse.
The last one and the most important- ukiona unakataliwa basi ujue tayari ana wake wa kumoyo, sio wote wanataka vidumu.
Unahitaji darasa? la jinsi ya kutopigwa kibuti.
punguza mitungi, pombe jamani zinawaharibia mambo, demu hata bado haujachakachua lakini kila mkionana unanuka matap tap,unategemea nini?
Thread yako sio sefu explanatori. Umepigwa kibuti na ddemu wako au ni demu tu ambaye si wako anakuwa hakuelewi? Mi nijuavyo in all cases mademu wanapenda pesa na maisha mazuri, sasa ekeza muda wako kutafuta mafanikio badala ya kufungua thread JF halafu uje utuambie autkam yake. Usizunguke mbuyu.Naomba michango yenu wandugu maana hali ni mbaya! :clock:
kutokuwa muaminifu katika mapenzi,yaani kubadilisha wanawake kila kukicha,leo una mwajuma,kesho yake una kidawa,mara cha usiku.kutokumjali mwenzio,una hiyari uende ukaangalie mpira wa manchester na arsenal,kuliko kukutana na mpenzi wako,mara siku ya pili,upo busy na biashara au kazi[w.ke tunapenda attention}.Ahadi za uwongo,usijali sweetie,kesho nitakupitia nikupeleke dinner,siku ikifika,nipo kwenye kikao cha harusi si nilikwambia vile mdogo wangu ataoa?.yaani blaa blaa kila kukicha,akitaka mchezo anakuwa na wewe karibu,ndani ya mchezo,promise nyiiiiiiiingi za uwongo.mwishowe unaona mmmh hapa hapafai,kibuti kwa kwenda mbele.oooh nimesahau,na ubahili,umpe wewe tu,yeye story za hapa na pale zinakuwa nyingi,na pengine ana kazi nzuri kuliko wewe
Thread yako sio sefu explanatori. Umepigwa kibuti na ddemu wako au ni demu tu ambaye si wako anakuwa hakuelewi? Mi nijuavyo in all cases mademu wanapenda pesa na maisha mazuri, sasa ekeza muda wako kutafuta mafanikio badala ya kufungua thread JF halafu uje utuambie autkam yake. Usizunguke mbuyu.
Vanofu hela''.:smile-big::smile-big:
Kaka maskio hayazidi kichwa. Hao mademu waliokupiga chini sio saizi yako..yaani salio lako halitoshi.Asante mkuu, Kwa ufupi; Nishapitia vipindi vya kawaida kwa kijana (bado kijana) nikaamua kutulia na mmoja tu na kutafuta pesa (my periority) lakini niliyekuwanae june last year akanipiga kibuti, nikaona sio ishu isitoshe nilikuwa busy sana na mambo yangu. mwezi wa tisa nikamtokea dada mmoja akantosa, nikatulia sasa mwaka huu 2011 nahitaji mpenzi nime wa aproach several, ishu ndio hiyo... Kuhusu kutafuta pesa natafuta na nimetafuta sana kuanzia darasani mpaka kitaa, inshort swala la mkwanja halinisumbui. I can handle even an extended family.
Hujafikia vigezo..huendani nae..hayuko interested..ana mtu wake..hujamvutia na kuendelea!For that case ok, But unamtokea tu mdada anakutolea nje unatoss tena the same issue inakuwaje da M.R??
Haya ndio mafunzo ya kuwa delusional.Jiamini u can have any woman you want don't give up so easily.God Love you keep praying some one some where is waiting you its just the matter of time lol
Naomba michango yenu wandugu maana hali ni mbaya! :clock:
Jiamini u can have any woman you want don't give up so easily.God Love you keep praying some one some where is waiting you its just the matter of time lol
fanya kazi baba....bill gates hatoswi!