Zipi sababu za mwanaume kupigwa vibuti

punguza mitungi, pombe jamani zinawaharibia mambo, demu hata bado haujachakachua lakini kila mkionana unanuka matap tap,unategemea nini?
 
Nashukuru mkuu Mvuto sina uhakika, umbile nina 173cm ni mtu wa mazoezi kiasichake, mavazi sinauhakika ila sivai cheap clothes, kwakweli sio mtumiaji wa perfume/sinukii, kwa swala la kuoga mi nimsafi sana tu, Hiyo second third na last inabidi nizifanyie kazi.. Ahsanta sana mkuu.. Hilo darasa linahitajika
 
punguza mitungi, pombe jamani zinawaharibia mambo, demu hata bado haujachakachua lakini kila mkionana unanuka matap tap,unategemea nini?

Mkuu kuna familia zinategemea hiyo biashara kwa chakula, ada za watoto, kodi ya nyumba, nauli nk. tukiacha kuwaungisha watoto wao hawatakwenda shule!!! Natania situmii hivyo!
 
Naomba michango yenu wandugu maana hali ni mbaya! :clock:
Thread yako sio sefu explanatori. Umepigwa kibuti na ddemu wako au ni demu tu ambaye si wako anakuwa hakuelewi? Mi nijuavyo in all cases mademu wanapenda pesa na maisha mazuri, sasa ekeza muda wako kutafuta mafanikio badala ya kufungua thread JF halafu uje utuambie autkam yake. Usizunguke mbuyu.
 

Kwa hiyo nisiende kuangalia mpira wa Manchester na Arsenal au Simba na Yanga simply because unataka attention??
 

Asante mkuu, Kwa ufupi; Nishapitia vipindi vya kawaida kwa kijana (bado kijana) nikaamua kutulia na mmoja tu na kutafuta pesa (my periority) lakini niliyekuwanae june last year akanipiga kibuti, nikaona sio ishu isitoshe nilikuwa busy sana na mambo yangu. mwezi wa tisa nikamtokea dada mmoja akantosa, nikatulia sasa mwaka huu 2011 nahitaji mpenzi nime wa aproach several, ishu ndio hiyo... Kuhusu kutafuta pesa natafuta na nimetafuta sana kuanzia darasani mpaka kitaa, inshort swala la mkwanja halinisumbui. I can handle even an extended family.
 
Uongo umezidi ndo maana unapigwa kibuti umesikia Elia???
 
Kaka maskio hayazidi kichwa. Hao mademu waliokupiga chini sio saizi yako..yaani salio lako halitoshi.
 
For that case ok, But unamtokea tu mdada anakutolea nje unatoss tena the same issue inakuwaje da M.R??
Hujafikia vigezo..huendani nae..hayuko interested..ana mtu wake..hujamvutia na kuendelea!
 
Approaching tactics pengine zinawakimbiza au kuwaogofya au kuwafanya waone through kwamba watakiona cha moto. Pia uelewe kuanza kuapproach ukijua kwamba ladies dont feel and behave like guys. Jifunze hayo angalau pengine yakakusaidia. Haimaanishi wewe una kasoro yoyote, la! Nadhani tatizo liko kwenye approaching, you scare them to make them run away.
 
Jiamini u can have any woman you want don't give up so easily.God Love you keep praying some one some where is waiting you its just the matter of time lol
 
.........Ukiwa bahili lazima upigwe kibuti.
 
Jiamini u can have any woman you want don't give up so easily.God Love you keep praying some one some where is waiting you its just the matter of time lol
Haya ndio mafunzo ya kuwa delusional.

Hata wanyama wa jinsia ya kike kule mwituni huwa around na ku-mate na alpha males companions, they will never mate a looser...nature is a bitch...haipo kuridhisha kila kiumbe bali kwa wababe tu. ile mentality ya man eat man sio myth..ni reality/
 
Naomba michango yenu wandugu maana hali ni mbaya! :clock:

Kama umefulia na ulikuwa unamlea mtoto basi anakuona huna maana.
Kwa wale wanao lelewa kama performance imeshuka jimama linakupiga kibuti
 
Jiamini u can have any woman you want don't give up so easily.God Love you keep praying some one some where is waiting you its just the matter of time lol

to the nex life
 
fanya kazi baba....bill gates hatoswi!

mkuu labda nijifunze jinsi ya kutumia pesa yangu, siko na hela km gates but at my age (early 30's) Mmbongo halisi having my own house (in dar) and three cars (sio saloons) for private use. i am not poor. but i need a serious relation lead to marriage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…