DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mpaka kuitwa kijana wa hovyo unabidi kuwa na sifa zipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana anayehusudu mapenzi kuliko kesho yake.Mpaka kuitwa kijana wa hovyo unabidi kuwa na sifa zipi?
AiseeKijana wa hovyo ni yule anayejisifu mfano anajisifu ana Degree halafu kesho anaweka Tangazo anahitaji kununua Vyombo vya ndani used mfano Godoro,Kitanda,Sufuria nk,huyo kwangu ni Kijana wa ovyo tu
Jamaa unabifu na jiran yako ha ha haaaKijana wa hovyo ni yule anayejisifu mfano anajisifu ana Degree halafu kesho anaweka Tangazo anahitaji kununua Vyombo vya ndani used mfano Godoro,Kitanda,Sufuria nk,huyo kwangu ni Kijana wa ovyo tu
Kijana hapaswi kuhama kwao kisa umri ili ahame lazima kuwe na sababu zenye uzito huwezi kuhama ukawaacha wazazi wako wanaohitaji uangalizi wa karibuKijana anaeishi kwao na amefikia umri wa kujitegemea
Naongezea:1. Mpiga punyeto
2. Shabiki wa WCB NA KINGS MUSIC
3. Shabiki wa yanga na Simba
4. Mcheza kamari
5. KaZI kusifia matako makubwa ya mademu
6. Hana pesa za kumtosha
7. Degree zao za SAUT na Udsm hazina msaada wwt kwao
8. Huwa wanachezea simu mda wote , I mean mda wa kula , in class session, kwenye daladala ,
9. ME wanaamini kuwa mrefu ndo tiketi ya kunyandua pis kali
KE wanaamini matako makubwa ndo tiketi ya kudatisha masela.
10. NO FUTURE AT ALL .........
[emoji2539] [emoji2539]
[emoji103]
[emoji105]