Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau naomba mwenye uelewa wa sifa za watakaojiunga na kidato cha tano kwa matokeo yaliyotoka. Mfano mtu ana division IV lakini kwenye combination ana BCC anaweza kuchaguliwa?
Kwa matokeo ya CSEE 2013 kwenda Advance ni Mpaka mwanafunzi awe na Credits 5 na sio 3 kama ilivyokuwa hapo kabla!.
Kwa matokeo ya CSEE 2013 kwenda Advance ni Mpaka mwanafunzi awe na Credits 5 na sio 3 kama ilivyokuwa hapo kabla!.
Yap,uko sawa huo ndio mtaala mpya
Umeshatangazwa huo mtaala mpya?
Wadau naomba mwenye uelewa wa sifa za watakaojiunga na kidato cha tano kwa matokeo yaliyotoka. Mfano mtu ana division IV lakini kwenye combination ana BCC anaweza kuchaguliwa?
anaweza akachaguliwa mkuu ila ni bora atafute shule ya private
Yap,uko sawa huo ndio mtaala mpya
Kwa Point za sasa hivi,
Asilimia zaidi ya 95% wenye THREE (25-31) wana credits kuanzia 5 na kuendelea!.
Kwa mfano,
Hata wenye FOUR za 32-35 baadhi yao wamezidi hata hizo credits 3.
unaweza kuniambia hzo 95% umezipata wapi?? na jee unaweza kutuletea ushahidi wa taarifa kutoka wizaran kwamba kuanzia mwaka huu kusoma adivance ni mpaka uwe na credit 5 badala ya 3??
Ili u qualify kufanya mtihani wa necta wa ACSEE unahitaji kuwa na credit 3 tu haijalishi ni masomo gani hata ukiwa na C ya Civics,Biology, na Kiswahili na mengine yote ukalamba D au F bado una qualify kusoma advance japo kwa government utakosa sababu ya ushindani ila private utapata na utasoma combi uitakayo.
Ila hata uwe na A au B 2 alafu masomo mengine ukapata D au F hauta qualify kusoma advance coz utakuwa na credit mbili itakulazimu ukasome vyuo upate certificate uweze kuendelea na diploma.