Zipi sifa za watakaochaguliwa Form V kwa matokeo ya 2013?

kuch-kuch

Member
Joined
Jan 14, 2014
Posts
40
Reaction score
17
Wadau naomba mwenye uelewa wa sifa za watakaojiunga na kidato cha tano kwa matokeo yaliyotoka. Mfano mtu ana division IV lakini kwenye combination ana BCC anaweza kuchaguliwa?
 
Ili u qualify kufanya mtihani wa necta wa ACSEE unahitaji kuwa na credit 3 tu haijalishi ni masomo gani hata ukiwa na C ya Civics,Biology, na Kiswahili na mengine yote ukalamba D au F bado una qualify kusoma advance japo kwa government utakosa sababu ya ushindani ila private utapata na utasoma combi uitakayo.

Ila hata uwe na A au B 2 alafu masomo mengine ukapata D au F hauta qualify kusoma advance coz utakuwa na credit mbili itakulazimu ukasome vyuo upate certificate uweze kuendelea na diploma.
 
Kwa matokeo ya CSEE 2013 kwenda Advance ni Mpaka mwanafunzi awe na Credits 5 na sio 3 kama ilivyokuwa hapo kabla!.
 
Wadau naomba mwenye uelewa wa sifa za watakaojiunga na kidato cha tano kwa matokeo yaliyotoka. Mfano mtu ana division IV lakini kwenye combination ana BCC anaweza kuchaguliwa?

anaweza akachaguliwa mkuu ila ni bora atafute shule ya private
 
Kwa Point za sasa hivi,
Asilimia zaidi ya 95% wenye THREE (25-31) wana credits kuanzia 5 na kuendelea!.
Kwa mfano,
Hata wenye FOUR za 32-35 baadhi yao wamezidi hata hizo credits 3.
 
unaweza kuniambia hzo 95% umezipata wapi?? na jee unaweza kutuletea ushahidi wa taarifa kutoka wizaran kwamba kuanzia mwaka huu kusoma adivance ni mpaka uwe na credit 5 badala ya 3??
 
hahahahaha...dah tz ya sasa sio ile ya kale!!
 
Ili u qualify kufanya mtihani wa necta wa ACSEE unahitaji kuwa na credit 3 tu haijalishi ni masomo gani hata ukiwa na C ya Civics,Biology, na Kiswahili na mengine yote ukalamba D au F bado una qualify kusoma advance japo kwa government utakosa sababu ya ushindani ila private utapata na utasoma combi uitakayo.

Ila hata uwe na A au B 2 alafu masomo mengine ukapata D au F hauta qualify kusoma advance coz utakuwa na credit mbili itakulazimu ukasome vyuo upate certificate uweze kuendelea na diploma.

Kwanza umeiba comment yangu kwenye thread moja hivi iliwekwa last week. Pili necta wamebadili mfumo kwenda advance either private au government lazima uwe na pass 5 na credit tatu.
 
Jamany naombeni kuuliza mimi nataka nisome pcm but nina physics d chemistry d na math d naweza kwenda shule za private n which xcul is good for that pleasee help meee guyss
 
Back
Top Bottom