RIGHT MARKER
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 129
- 473
MHADHARA (104)✍️
1. Utaondoka nyumbani mweupe kwenda kutafuta, utarudi nyumbani ukiwa mweupe. Lakini usiwe mwisho wa kuendelea kupambana.
2. Biashara utakayoianzisha itayumba, au kufa kabisa. Lakini usiwe mwisho wa kuendelea kupambana.
3. Utakwama, utawapigia simu watu wako wa karibu kamwe hawatapokea simu yako. Lakini usiwe mwisho wa kuendelea kupambana.
4. Elimu uliyonayo utaona haina faida yoyote, na kila anayekufahamu atakucheka na kubeza elimu yako. Lakini usiwe mwisho wa kuendelea kupambana.
5. Gesi itakwisha, mkaa utakwisha, king'amuzi kitakata, LUKU itakata, unga utakwisha, na sukari itakwisha. Yaani vyote vitakwisha kwa wakati mmoja. Lakini usiwe mwisho wa kuendelea kupambana.
6. Pesa utakayowekeza haitoleta faida. Shambani mvua zitagoma kunyesha. Mifugo itakufa. Lakini usiwe mwisho wa kuendelea kupambana.
NB: Kwenye mapambano yako usiache kutanguliza maombi (sala).
RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM