Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,990
- 3,824
Mbona nyingi tu ...ukitaka hotuba zake wewe nenda chooni tu utazisikia maana hazina tofauti na sauti za inzi chooniNimejitahidi kutafuta katika vyanzo mbalimbali sijazipata. Nimesikiliza radio na kuangalia TV mbalimbali katika kipindi hiki cha maombolezo yake lakini pia sijabahatika kuona hotuba yake akiwa Rais. Je hotuba zake zipo wapi? Mbona za wengine zipo?
ITV wamejitahidi kuzionesha kwa kirefu sana leoNimejitahidi kutafuta katika vyanzo mbalimbali sijazipata. Nimesikiliza radio na kuangalia TV mbalimbali katika kipindi hiki cha maombolezo yake lakini pia sijabahatika kuona hotuba yake akiwa Rais. Je hotuba zake zipo wapi? Mbona za wengine zipo?
Duuuuu!Mbona nyingi tu ...ukitaka hotuba zake wewe nenda chooni tu utazisikia maana hazina tofauti na sauti za inzi chooni