Zipu za kwenye suruali za kike huwa ni za kutolea nini?

Zipu za kwenye suruali za kike huwa ni za kutolea nini?

muafi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
2,557
Reaction score
6,128
Wadau hili ni swali linalonifikirisha sana
Naomba mnisaidie wajuvi

Zile zipu za mbele kwenye suruari za kike waga ni za kutolea nini?
 
Huwa hauwaoni wanakuna papuchi muda mwingine😀😀😀😀.
 
...........zipu inasaidia kwenye kuvaa na kuvua hiyo suruali kama haina mpira, na ukae ukijua wanawake hawakuwa wakivaa suruali so zilitengenezwa kwaajili ya wanaume hawa walivyoanza kuvaa waliiga tu zile za kiume badala ya kuja na kitu kipya.
 
Zipu inasaidia wakati wa kuvaa na kuvua jeans, japo kuwa kwa mwanaume inakuwa na faida ya ziada hivyo haifanyi hii faida nyingine isiwepo kwa upande wa pili
 
Zile kwa ajiri ya kupitishia naniliu
 
Back
Top Bottom