Zipu za kwenye suruali za kike huwa ni za kutolea nini?

Zipu za kwenye suruali za kike huwa ni za kutolea nini?

...........zipu inasaidia kwenye kuvaa na kuvua hiyo suruali kama haina mpira, na ukae ukijua wanawake hawakuwa wakivaa suruali so zilitengenezwa kwaajili ya wanaume hawa walivyoanza kuvaa waliiga tu zile za kiume badala ya kuja na kitu kipya.
kwanini hawakuiga kuiweka zipu upande wa kulia wakaiweka Kushoto!?..
 
Back
Top Bottom