Antonio de Guzman JF-Expert Member Joined Jun 20, 2016 Posts 7,090 Reaction score 13,511 Jun 5, 2018 #21 Za kupitishia mkuyenge kwenye zile game za fasta
mwenye shamba JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 978 Reaction score 1,766 Jun 5, 2018 #22 Za kupitishia mariboro wakati wa ufinyu wa muda
Wick JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 8,313 Reaction score 12,170 Jun 5, 2018 #23 vvm said: ...........zipu inasaidia kwenye kuvaa na kuvua hiyo suruali kama haina mpira, na ukae ukijua wanawake hawakuwa wakivaa suruali so zilitengenezwa kwaajili ya wanaume hawa walivyoanza kuvaa waliiga tu zile za kiume badala ya kuja na kitu kipya. Click to expand... kwanini hawakuiga kuiweka zipu upande wa kulia wakaiweka Kushoto!?..
vvm said: ...........zipu inasaidia kwenye kuvaa na kuvua hiyo suruali kama haina mpira, na ukae ukijua wanawake hawakuwa wakivaa suruali so zilitengenezwa kwaajili ya wanaume hawa walivyoanza kuvaa waliiga tu zile za kiume badala ya kuja na kitu kipya. Click to expand... kwanini hawakuiga kuiweka zipu upande wa kulia wakaiweka Kushoto!?..
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,378 Reaction score 56,047 Jun 5, 2018 #24 Kufungua suruali