wanajamvi katika kila mtu kutoa mawazo yake juu ya matokeo ya kidato cha nne kuwa mabaya nimekutana na twit ya first lady salmakikwete.matokeo ya form four yametokana na yanaashiria kuna sehemu katika malezi ya vijana wetu tunakosea kwa kiasi.......
Wadau wanauliza mwanaisha naye alidondokea kwenye hili? Kweli our first lady is thinking criticaly.
Cc.
Rirtz,chama,rejao
Mku KombaJR!
Hakuna cha kumshangaa Mwanaisha mkuu! Naye kapitia malezi hayohayo!!
atoe kwanza boriti kwenye jicho lake
wanajamvi katika kila mtu kutoa mawazo yake juu ya matokeo ya kidato cha nne kuwa mabaya nimekutana na twit ya first lady salmakikwete.matokeo ya form four yametokana na yanaashiria kuna sehemu katika malezi ya vijana wetu tunakosea kwa kiasi.......
Wadau wanauliza mwanaisha naye alidondokea kwenye hili? Kweli our first lady is thinking criticaly.
Cc.
Rirtz,chama,rejao
Mbona kajibu vizuri tu. Au umezoea notisi za kukariri ndo uelewe.
Jibu la kwamba yanaashiria kuna sehemu katika malezi ya vijana wetu tunakosea kwa kiasi ni moja ya majibu sahihi kabisa yanayosababisha kuporoka kwa elimu za nchi nyingi.
Kwa sababu umezoea notisi, basi desa kidogo hapo chini.
Elimu ya mtoto inahusisha serikali (shule, walimu, vifaa n.k), mtoto mwenyewe (afya na malezi) na wazazi/walezi ambao wanatakiwa kuwalea watoto katika misingi ya kupenda shule na kujishugulisha katika shule. Wewe unamlea mtoto kuangalia tamthilia siku nzima na humsisitizi kujisomea, unategemea nini. Wewe ndo hufikirii critically.
acheni kujificha kwenye sababu nyepesi mnaacha sababu za msingi.
Wewe ndo huelewi kabisa maana ya elimu. Nakupa mifano:
1. Wakati Obama akigombea awamu ya kwanza katika kuzungumzia elimu alisema kwamba ataajiri walimu wa kutosha na kuwalipa mishahara mizuri. Ila aliongeza kwa kusema, wazazi nanyi mtimize wajibu wenu kwani serikali haiwezi kuja nyumbani kwako na kuzima TV ili mtoto akafanye homework. Think critically
2. Tarehe 14.02.2013, juzi tu wakati Zuma akifungua mbunge la Afrika ya Kusini, soma mwenyewe
''In elevating education to its rightful place, we want to see an improvement in the quality of learning and teaching and the management of schools. We want to see an improvement in attitudes, posture and outcomes.
Working with educators, parents, the community and various stakeholders, we will be able to turn our schools into centres of excellence''. Think critically.
Hiyo ni mifano michache, ipo mingi tu.
Ukizungumzia elimu, unagusa nyanja nyingi. Kwa heri KombaJr.
huyu mama mburura sana.
Na hakuna wa kumnyamazisha........Mama Maria......Mama Sitti na hata Mama Mkapa walibakia kuwa wake wa Marais.....huyu mmmh
Matatizo ya waafrika siku zote ndio haya...Wakitoka au wkibebwa wakatoka wanawasahau na kwapondea wenzao....hapo chacha amshukuru mwaiki mkuu wa kigurunyembe by then ndo maana jk akumsahau kwenye ufalme wake
Mwanaasha alipata division ngapi vile? Hivi mlezi wake ni nani tena?