ZIS IZI SIMBA Bwanaaaa wazee wa kuliwa Tano mmetutia aibuu

Kinyonyoke

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
3,498
Reaction score
13,138
walipoitwa underdogs walichachamaa wkataka kufanya maandamano wakawa wanamuona shafii dauda mchawi lakini sasa ukweli wanao,hakyanan Simba angeshinda leo ningeacha kabisa kuangalia mpira,lakini kitu kimoja niwakumbushe watani na Haji Manara kuwa wa mbili havai moja,mchezo wa wanaume mvulana hauwezi lakini pia huu mchezo hauhitaji hasira.ni ushabiki tu anyways.
 
Naamini una umri mdogo bado. Ungekuwa na umri kiasi usingeweza kujisahaulisha yale ya mwaka 1998 kule Nchini Morocco Yanga ilipofungwa goli 6 - 0 na Raja Cassabranca.
Mwaka 2012 pale Taifa Yanga aliliwa goli 5 - 0 na Simba ya akina Emmanuel Okwi. Acha kujitoa ufahamu.
Kule Egypt 1982 Yanga walipigwa goli 5- 0 na Al Ahly zote hizo umezisahau. Duuuh
Na Ile Mechi ya mwaka 1977 yanga akifa goli 6 - 0 nayo?.
ACHA UPUMBAVU WAKO
 
Reactions: Tui
1998 alifungwa 6 na Raja Casablanca. Vyura wamefungwa na
timu iliyopo kwenye nafasi ya 16 kwenye ligi.
STENDI.
Naomba tukutane kwenye Sports Pesa.
 
Chezea kimoja cha STENDI mpaka "koki" imetoka.
Mwali anakandwa maji bikra imetolewa na wapiga debe wa STENDI.
 

Aibu kwani mlikuwa na status gani mkuu???
 
Povu lazima likutoke anyways wacha nikaoshee vyombo
 
Kariobangi Sharks 3 tena nyumbani. Halafu wanabana pua ohh tunaweza kuwakilisha Nchi. Fungwa nje lakini hata nyumbani hii ni dharau kubwa.Chura bwana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vumbi la kongo
 
This is Simbaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using my Iphone 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…