Zitambue Nyimbo za Taifa

Zitambue Nyimbo za Taifa

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Tangu muziki wa kizazi kipya 'BongoFleva' umeanza kutamba kumejitokeza nyimbo nyingi za wasanii mbalimbali ambazo zimefanikiwa/zilifanikiwa kuvuma kiasi kwamba hata watoto wadogo wanaziimba/waliziimba, yaani hata mtu ambaye si shabiki kabisa wa muziki anazijua kutokana na kutamba sana, kwa lugha ya mjini tunaziita 'nyimbo za Taifa', nitazitaja kwa haraka haraka ninazozikumbuka,

1. Chemsha Bongo - Hard Blasters
2. Mtoto wa Geti Kali - Inspekta Haroun (Gangwe Mobb)
3. Machozi - Lady Jaydee
4. Kamanda - Daz Nundaz
5. Fagilia - Mr. Nice
6. Zeze - TID
7. Ndiyo Mzee - Profesa Jay
8. Sitaki dem - Juma Nature
9. Bado nipo nipo - Mwana FA
10. Nakupenda Mpenzi - Dudubaya
11. Starehe - Ferouz
12. Darubini Kali - Afande Sele
13. Cindelela - Ali Kiba
14. Vailet - Matonya
15. Latifa - MB Dogg
16. Nyumbani ni Nyumbani - Wanaume TMK
17. Mbagala- Diamond
18. Number 1- Diamond
19. Majanga - Snura
20. Nitakupwelepweta - Yamoto band
21. Hainaga Ushemeji - Man Fongo

Zipi unazozifahamu zinastahili kuwa kwenye hii list?
 
Back
Top Bottom