Zitambue sifa za Nguruwe

Watu wanasema eti watu wenye majini ndio mnaogopa kula nguruwe.
Ni kwa nini ukiwa na majini uogope kula nguruwe?
Maneno tu ya watu yasio na uthibitisho wengine husema ukiweka mfupa wa nguruwe ndani kwako wachawi hawaji

Wewe unasema mtu mwenye majini anaogopa nguruwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…