Zitambue tafsiri za ‘Tattoo’ kwa Ney wa Mitego

Zitambue tafsiri za ‘Tattoo’ kwa Ney wa Mitego

Mmh sionagi ata u hip hop wake uoo wa makavu live kama joti ndoo hip hop ama kakoxaa vyakuimba au nini?
eti wanangu kuleni ganja sijui nini na nini kanza hana kitu uyo maraa mlegezoo mpaka basi viatu tofauti sasa kuna akili kwelii umoo
 
But kuna ukweli gani kwenye maana za hizi tatoos?
Mfano chozi likichorwa chini ya jicho linadondoka means unamkumbuka uliyemwua,sasa Lil Wayne kachora kama tatu ndo tuseme kaua watatu?
 
Back
Top Bottom