Zito Kabwe ni msaliti na adui wa Demokrasia Tanzania

Zitto ana jambo lake,sijui nini?kama sio ubunge wa kuteuliwa anakimbilia uwaziri miezi sita ijayo.
Lakini kama atakosa kufanikisha hilo basi ujue ataanza kumuandama SSH.
 

Lipumba hana tena chama mkuu
 
Zitto ni ndumila kuwili - watu kama hawa huwa wapo toka shule ya msingi...mnatoroka wote kwenda chimbo kisha anakwenda kutoa data zote kwa mwalimu wa zamu mlitorokea - mlikuwa wangapi na mmefanya nini...watu kama hawa enzi hizo ni kumwita mafichoni (chimbo) wakati wa mapumziko kula kichapo saana!!

Kwa sasa, kazi kwenu watanzania wapenda demokrasia - mtafutieni adhabu kwa haya anayowafanyia.
 
Kwani umelazimishwa kuungana nae?
Kesho tu akisema neno unalo ona linaishambulia serikari utakuja hapa kumsifia.
 
Dr Slaa ni mwanasiasa mzuri sana
 
Kwani si mlishamfukuza CDM mwacheni afanye yake na nyinyi fanyeni yenu
 
Zitto ni mdini sana ndugu zangu. Ndiyo maana leo matpkeo yoote kayakubali bila malalamiko hasi. Leo hii hii ukibadili jina la mama akawa Adela Zittp atakataa matokeo
Sahihi!
Na amekubali ili ionekane mambo yamebadilika
 
chadema ukiwa kinyume na wao wewe NI ADUI.
yaani wao wanaona wako SAHIHI SANA.
na hawana urafiki wa kudumu
 
Na nyie makamanda uchwara hamjielewi.
Mkuu
Magonjwa Mtambuka, imekuwaje kada kindakindaki mwenzio johnthebaptist siku hizi anamwelezea vibaya hayati JPM wakati alikuwa mstari wa mbele kumpamba kwa udi na uvumba hata kuhimiza serrikali nzima ihamie Dodoma, leo hii inadai Rais abaki DSM na huko DODOMA abaki makamu wa Rais na Waziri mkuu?

Unamfahamu huyu mtu, naamini ulishawahi kukutana naye sehemu mbalimbali maana mijoka ya midimu kwa sasa imegeuka majoka yenye sumu kali yanatema bila hofu

johnthebaptist, jitokeze hadharani ili kuonesha kweli wewe ni jasiri wa kukana misimamo ya zamani (If at all you have guts to punch the technical jab
 
Sasa unaniuliza mimi ili iweje?
 
Sasa unaniuliza mimi ili iweje?
Mbona unajibu kwa ukali? Hizi ni dalili za chama chenu kwenda kuparaganyika na kusambaratika muda sio mrefu maana kwa sasa mnafuata maslahi binafsi. Kwanini unajibu kwa ukali wakati unaombwa kusaidia ufafanuzi kuhusiana na utata wa mwenendo wa huyo mdau wenu?
 
Asante sana mkuu
Kwa kuweka wazi.

Hapa ndipo wafuasi wengi wa Chadema wanapomchukia Zitto.

Tatizo la wafuasi wa chadema kwa Zitto sio siasa ni dini yake.
 
Zitto ni mdini sana ndugu zangu. Ndiyo maana leo matpkeo yoote kayakubali bila malalamiko hasi. Leo hii hii ukibadili jina la mama akawa Adela Zittp atakataa matokeo
Suala la udini ni KUMSINGIZIA....

MDINI ni wewe na upumbavu wako.....

#SiempreTanzania
 
Lipumba hana tena chama mkuu
Unamaanisha wanafiki walimuhama Lipumba kwenye chama cha CUF na kwenda kujiunga na wenzao kina Zitto huko ACT? Au unamaanisha nini mkuu kwa kusema Lipumba hana chama tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…