Zito Kabwe ni msaliti na adui wa Demokrasia Tanzania

Zitto Zuberi Kabwe mzee wa fursa. Kati ya vijana wajanja nchini nampa heko huyu jamaa kwenye tasnia ya Siasa. Ni sawa na Diamond platinumz kwenye muziki.

Kama vijana inabidi kuwa na macho ya kuona na kuchangamkia fursa kama huyu jamaa. Haibi, haui, hadhurumu kwa nini tumchukie.

Haki kwenye jamii inapatikana kwa kila mtu kuwajibika. Sio kumsubiria mtu kama Zitto atusemee. Big up Zitto
 

lakini mlishirikiana nae uchaguzi uliopita, sasa mmebaki kulaumu tena! Kura za ukawa ziliwadanganya sana kwamba chadema ina nguvu, nyie ni kopo tu mngejua
 
Chaggadomo bana
 
Kwani Mpinzani wa Mpinzani sio Mpinzani wa Mpinzani ?

Tatizo Bongo Vyama havina Ideology..., vyama ni platform tu ya kupata Uongozi..., Ndio maana mtu anaweza kuhama CCM to CHADEMA to ACT to CUF akiwa na ideologies zile zile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…