Mejasoko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 298
- 600
1.Pata picha Tundu Lisu akasepa na Kijiji chake ACT Wazalendo, wataungana na Zito, Lisu akagombea uraisi akashinda, Zito waziri mkuu, Zanzibar Jusa Raisi Visiwani, hakika itakuwa serikali mbadala kabisa kwa utawala wa muda mrefu wa chama cha kijani.
2. Wasiposhinda uchaguzi wa Rais ACT inakwenda kuwa chama kikuu cha upinzani na hivyo Mbowe na Chadema yake wanadoda ni Kama vile CUF ilivyopoteza uhai wake na kujinufaisha ACT
3. Zito Kabwe anayo haja ya kutumia turufu hii ya Lisu kumpeleka ACT na hivyo atakuwa ame "Win the War" baada ya Mentor wake Mbowe ku "Win The Battle" kwa muda
4. Mbowe alimuogopa Zito kwenye sanduku la kura alitegea busara za wazee my take this time anaenda kupoteza na hakuna any Come Back.
5. Zito Kabwe na Tundu Lisu wapinzani halisi, Mbowe Alikua Secret Service Agent ambaye anakwenda kustaafu kwa aibu
Bob Marley quote " You Can Fool Some People For Sometime But You Can't Fool All People All Over The Time"
6. 2025 Anahitajika Rais ( Kiongozi) Mtanganyika Aliyezaliwa baada ya Uhuru hivyo
Samia Must Go, Mbowe Must Go
7. Reform is Must, Katiba Mpya ni Jibu