GE2025 Zito na ACT, kweli hapa mtalinda kura?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Chalinze .........................................hana mpinzani toka CCM
Mchinga ........................................ hana mpinzani toka CCM

Hata Rufiji (ingawa wamejitokeza 3) na Mchengerwa

Mnadhani kweli wana CCM hawakutaka kugombea? Kweli? Kweli?

Kweli hapa mtalinda kura?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…