Mtetezi.com JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 3,134 Reaction score 3,584 Oct 15, 2018 #1 Neno UWOGA kwenye kamusi yake halipo na halitokaa likawepo Attachments Screenshot_20181015-163330.jpg 54.8 KB · Views: 23
Anti-Hacker JF-Expert Member Joined Oct 1, 2018 Posts 803 Reaction score 1,233 Oct 15, 2018 #2 Ajapata shoka ya mjerumani tu...ye asubirie
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Oct 15, 2018 #3 ndo nani huyo ?
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,073 Reaction score 858,551 Oct 15, 2018 #4 Comedian katika ubora wake walahi
Jimmie Gatsby JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 3,587 Reaction score 7,272 Oct 15, 2018 #5 ameona hatekenywi ameamua kujitekenya alafu anacheka mwenyewe alafu gafla anaanza kulalamika aaaah mbona mnanitekenya wakati watu wote tulimuona mchana kweupeeee akijitekenya mwenyewe wakuelewa na waelewe siyo lazima tuelewe wote
ameona hatekenywi ameamua kujitekenya alafu anacheka mwenyewe alafu gafla anaanza kulalamika aaaah mbona mnanitekenya wakati watu wote tulimuona mchana kweupeeee akijitekenya mwenyewe wakuelewa na waelewe siyo lazima tuelewe wote
Mtetezi.com JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 3,134 Reaction score 3,584 Oct 15, 2018 Thread starter #6 Ila jamaa namkubali coz sio mtu wa kuyumbishwayumbishwa he do things anavyoviamini ni good kwake
A Allency JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 14,830 Reaction score 14,472 Oct 15, 2018 #7 Ccm ni adui wa nchii hii
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Oct 15, 2018 #8 miminaogopakutekwasana