Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Ni kupitia mtandao wa twitter:
Uharibifu wa Uchumi unaofanywa na Serikali ya Magufuli ni mkubwa sana. Itachukua miaka 10 kurudi Hali ya mwaka 2015 ( ambayo nayo haikuwa nzuri) iwapo ataondolewa madarakani mwaka huu. Akipata miaka 5 mingine itachukua miongo 2 ( miaka 20, two decades) na Marais 2 kurudi 2015
Watu wenyewe wa kumuondoa Magufuli ndio hao akina Nondo? Duh.Ni kupitia mtandao wa twitter:
Uharibifu wa Uchumi unaofanywa na Serikali ya Magufuli ni mkubwa sana. Itachukua miaka 10 kurudi Hali ya mwaka 2015 ( ambayo nayo haikuwa nzuri) iwapo ataondolewa madarakani mwaka huu. Akipata miaka 5 mingine itachukua miongo 2 ( miaka 20, two decades) na Marais 2 kurudi 2015
Watu wenyewe wa kumuondoa Magufuli ndio hao akina Nondo? Duh.
Huyu jamaa kama anatekenywa hivi.... Sasa si atuonyeshe huo uchumi ulivyoharibika... Mbona data zinasema tofauti.
Akuonyeshe nini kwani wewe huwezi linganisha hali ya maisha ya yako kwa mwaka 2015 na miaka hii ya anko magu au ulikuwa bado mwanafunzi kula kulala.Huyu jamaa kama anatekenywa hivi.... Sasa si atuonyeshe huo uchumi ulivyoharibika... Mbona data zinasema tofauti.
Huyu jamaa kama anatekenywa hivi.... Sasa si atuonyeshe huo uchumi ulivyoharibika... Mbona data zinasema tofauti.
Data kutoka lumumbaHuyu jamaa kama anatekenywa hivi.... Sasa si atuonyeshe huo uchumi ulivyoharibika... Mbona data zinasema tofauti.
WB,IMF
Na machizi yote yanamuamini...Ni kupitia mtandao wa twitter:
Uharibifu wa Uchumi unaofanywa na Serikali ya Magufuli ni mkubwa sana. Itachukua miaka 10 kurudi Hali ya mwaka 2015 ( ambayo nayo haikuwa nzuri) iwapo ataondolewa madarakani mwaka huu. Akipata miaka 5 mingine itachukua miongo 2 ( miaka 20, two decades) na Marais 2 kurudi 2015
Eti kwa kuangalia tuakuonyeshe nini kwani wewe huwezi linganisha hali ya maisha ya yako kwa mwaka 2015 na miaka hii ya anko magu au ulikuwa bado mwanafunzi kula kulala.
Wewe ulitaka tuweke miradi ganData zenu mnazotengeneza wenyewe bila hata kuwa certified, muhizinishaji mjomba mlipaji mpwa, hapo ukipeleka auditor wa data si tutakosa kiongozi wa nchi ghafla. Uchumi umeharibika sababu watu wana hali mbaya miradi tuliweka pesa nyingi payback yake sio leo na mingi hata kukamilika bado.