Wewe ulitaka tuweke miradi gan
Inayowapa fursa wazawa kukamata pesa na kuzunguka kwa kutoa ajira nyingi na za kudumu kwa watu wetu. Kujenga reli kwa kutumia sector binafsi zaidi sio kulundika wajeda na Tiss ambao wako katika payroll.
Kuanzisha viwanda vya kutengeneza mitambo na vipuri kama tyres tena hapa kazi ya serikali ilikuwa kuweka mazingira mepesi tu, ukuda katika migodi nisingeunda tume za Osoro tungekaa nao mezani bila kuathiri ajira za watu.
Ningepeleka matirioni SIDO na VETA na sio kuchimba bwawa kwanza ili kuwajengea watu uwezo wa kuzalisha vile vitu tunavyoagiza china na kwingineko ili kupunguza demand ya forex.
Kwenye kilimo ndio balaa ningeweka mkwanja mrefu na sio wa kuunga unga ili tuuze mazao nje na ya kila namna korosho, dengu, pamba baada kuzidiwa kusindika nchini. Miradi ya elimu kwangu isingekuwa upe, ningefundisha elimu iliyojaa stadi za maisha, michezo, ujasiriamali, ubunifu, technologia hatare mpaka simu tutengeneze wenyewe. Mbolea, Madawa tutaagiza malighafi.
Mifugo na Uvuvi huko ndio tungelisha dunia sababu sie kwetu flavour profile hatuna mpinzani katika masoko ya nje, badala ya kuteua mawaziri wakuda ningechagua watu wenye akili na wanaoona fursa kweli kweli.
Wafanyabiashara wakubwa, wadogo na wakati yaani wangepiga kazi na bata tu, ningepeleka watoto wetu wakatafute elimu nje ya nchi kwa maelfu. Nadhani utanielewa hapa