Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,177
- 14,156
IMF na WB wanatunga data?Wewe huna uwezo wa kujitathmini mwenyewe Uchumi wako na watu wanaokuzunguka mpaka data hizi.za kutunga na kuongezewa chumvi ili magufuli asikasirike ndo unazisubiri? Akili ya nzige kweli wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ulitaka tuweke miradi gan
Sijui. Labda nenda kawaulize.Vyombo vya dola havitakubali?
Sijui. Labda nenda kawaulize.
Sisi wawekezaji wazalendo hilo tumelionaNi kupitia mtandao wa twitter:
Uharibifu wa Uchumi unaofanywa na Serikali ya Magufuli ni mkubwa sana. Itachukua miaka 10 kurudi Hali ya mwaka 2015 ( ambayo nayo haikuwa nzuri) iwapo ataondolewa madarakani mwaka huu. Akipata miaka 5 mingine itachukua miongo 2 ( miaka 20, two decades) na Marais 2 kurudi 2015
Sina muda wa kupoteza. Tafuta jamaa wengine labda watakusaidia.Mimi ni mpinzani, vyombo vya dola haviko kwa ajili ya wapinzani bali ccm, labda ukawaulize ww kisha uje uniambie.
Sina muda wa kupoteza. Tafuta jamaa wengine labda watakusaidia.
Kuna jamaa yangu alikuwa Halmashauri ya jiji fulani naye kila siku haishi kukumbuka enzi za Kikwete alivyokuwa anapiga fedha. Naona na Zitto yuko kwenye hangover hiyo hiyo. Kila akikumbuka alivyokuwa anaingia Ikulu kama nyumbani na alivyokuwa anapata vya bure... Kweli mzoea vya kunyonga...Ni kupitia mtandao wa twitter:
Uharibifu wa Uchumi unaofanywa na Serikali ya Magufuli ni mkubwa sana. Itachukua miaka 10 kurudi Hali ya mwaka 2015 ( ambayo nayo haikuwa nzuri) iwapo ataondolewa madarakani mwaka huu. Akipata miaka 5 mingine itachukua miongo 2 ( miaka 20, two decades) na Marais 2 kurudi 2015
Unalazimisha?Ww ww ndio unaweza hiyo kazi.
Unalazimisha?
Hakuna haja ya data mkuu kumbali au kataa jama ka haribu mifumo yote ya uchumi kutokana na fiscal and monetary policies zake za kishabaHuyu jamaa kama anatekenywa hivi.... Sasa si atuonyeshe huo uchumi ulivyoharibika... Mbona data zinasema tofauti.
Kuna jamaa yangu alikuwa Halmashauri ya jiji fulani naye kila siku haishi kukumbuka enzi za Kikwete alivyokuwa anapiga fedha. Naona na Zitto yuko kwenye hangover hiyo hiyo. Kila akikumbuka alivyokuwa anaingia Ikulu kama nyumbani na alivyokuwa anapata vya bure... Kweli mzoea vya kunyonga...
Ni kupitia mtandao wa twitter:
Uharibifu wa Uchumi unaofanywa na Serikali ya Magufuli ni mkubwa sana. Itachukua miaka 10 kurudi Hali ya mwaka 2015 ( ambayo nayo haikuwa nzuri) iwapo ataondolewa madarakani mwaka huu. Akipata miaka 5 mingine itachukua miongo 2 ( miaka 20, two decades) na Marais 2 kurudi 2015
Hivi uyu ana akili timamu kweli?? au anapumbazwa na nini???Ni kupitia mtandao wa twitter:
Uharibifu wa Uchumi unaofanywa na Serikali ya Magufuli ni mkubwa sana. Itachukua miaka 10 kurudi Hali ya mwaka 2015 ( ambayo nayo haikuwa nzuri) iwapo ataondolewa madarakani mwaka huu. Akipata miaka 5 mingine itachukua miongo 2 ( miaka 20, two decades) na Marais 2 kurudi 2015
Nashindwa kuelewa watu wa kitengo wanasubiri nini!yesu alikufa kuokoa wengi!kwanini wasimzimishe waokoe taifa???Mbona Kennedy alitolewa kafara kule amerika???
Data gani unazozijua wewe? Au ndio walewale?Huyu jamaa kama anatekenywa hivi.... Sasa si atuonyeshe huo uchumi ulivyoharibika... Mbona data zinasema tofauti.