Zitto aibua madudu mengine bungeni

Zitto aibua madudu mengine bungeni

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
4,512
Reaction score
6,882
katika hali isiyokuwa ya kawaida mbunge zitoo kaibua madudu washa bungeni wakati alipofungua kijibegi kidogo ambacho huwa ni kawaida yake kukifungua kila anapokuwa anataka kurefer kanuni au mwongozo fulani

Inasemekana maduduwasha hayo ambayo baadhi ya wabunge wameyahusisha na imani za kishirikina yalitoka mfurulizo kutoka kwenye kibegi hicho ambacho kwa nje kiko smart kabisa lakini kumbe ndani huwa kuna zaidi ya vijitabu vya mwongozo na nyaraka nyingine za kibunge

Kingine cha kustaabisha ni kuwa baada ya maduduwasha hayo kutoka nje ya kijibegi cha zitto yalikwenda moja kwa moja na kujazana kwenye kiti cha spika hali iliyopelekea kikao kuhailishwa kwa muda na kuwaita askari wa bunge ili wamshinikize zito kuwaamuru maduduwasha hao warudi kwenye kijibegi chake

Richa ya spika kumtishia zitoo kumletea polisi bado mbunge Hugo aligoma kabisa kuwarudisha maduduwasha hao mahali pake hali iliyowafanya baadhi ya wabunge kumshawishi mh zitoo kuwarudisha wadudu hao kwenye kijibegi chake

Ushawishi wa wabunge hao ulisaidia kuokoa hali ya mambo bungeni kwani baada ya dk chache zitoo alitamka maneno furani na ghafla madudu wote walitoweka
 
Furani
Mh zitoo
Richa
Mfurulizo
Kuhailishwa
Maduduwasha
Mbunge hugo
 
Naona wasomi "hewa"mnachuana vikali ili kuwekana sawa kwenye uga huu wa kisomi "njaa"ulio tapakaa bongolala land kwa mhishiwa Jiwe kuu la pembe ni na mwanae mpendwa bashitete heko mabingwa wa tafakuri na udadavuzi wa masuala mtambuka
 
Back
Top Bottom