Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
Tunasubiri kwa hamu pindi hawa jamaa (ACT) watakapowakabidhi hawa wapiga kura kwa Lissu (ngazi ya urais)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaongea kama kitu kimetua kwenye ubongoNaona ameifuta kama alimfuta Membe pesa zake hadi ameenda kwa mabeberu kuomba zingine
Yes pamoja na kuyahujumu kimaendeleo lakini mapenzi ni makubwa kwa wabunge wao bado!Majimbo yote ambayo yalikuwa chini ya upinzani yamebaki kuwa na nguvu sana kwa wapinzani. CCM wana la kujifunza!
CHADEMA tujitoe kugombea ubunge huko tumwachie Zitto ayanyooshe ma-ccm!CCM haina chake nchi hii kwa sasa!
Mbinu ya kishamba ya Magufuli kufanya siasa peke yake kwa miaka mitano mbona haijamuokoa ?