Eric Ongara
Senior Member
- Sep 19, 2006
- 165
- 8
Tunakarabia kufika katika mazingira ya lazima ya wananchi kuasi.... Tuendeleni tu kitaelewela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
- Kumbe sheria ipo sasa tatizo lipo wapi?
Zitto Kabwe said:Walitumia pia fedha za Benki Kuu mwaka 2000 na mwaka 1995 walisaidiwa na Mugabe kwa maombi ya Mwalimu Nyerere.
...Tumejaribu kupeleka muswada Bungeni ili kuweka wazi kwenye sheria ya vyama vya siasa ili mkaguzi akague, CCM wamegoma na muswada ukachomolewa dakika za mwisho.
Mheshimiwa Zitto,
Nadhani ni wewe tu ndio huwa unasema umeleta miswaada. Wengine - na hata leo Sitta mwenyewe kasema - wanasubiri miswaada ya Serikali.
Hebu naomba unisaidie kidogo hapo kuhusu mpangilio wa kupitisha miswada.
Mlileta muswada ukawa voted down bungeni au ?
How and who controls the tabling of bills, CCM ?
Kwa utaratibu gani wa Standing Orders ?
Toka mwaka 1999 Bunge limekuwa na hoja binafsi moja tu, ya Buzwagi. Toka mwaka 1995 Bunge limekuwa na Muswada binafsi mmoja ambao haujawasilishwa - sheria ya Maadilii. Mara ya mwisho Mbunge kuwasilisha muswada binafsi Bungeni ni Jenerali Ulimwengu mwaka 1995.
...Unceremoniously muswada ukaondolewa kwenye order paper siku ya kuwasilishwa baada ya kikao cha kamati ya uongozi wa wabunge wa CCM.
.... wabunge wa CCM ndio wenye uamuzi wa mwisho kwani wao ndio wengi ndio maana utume wangu kwa Taifa ni kumaliza ukiritimba wa chama kimoja bungeni - ending single party dominance
Kama kuna njia ya kuiweka miswada hii open, na voting records open, ningeshauri tuwekewe ili tujue mbunge gani anapiga kura kwa maslahi ya taifa na mbunge gani ni mnazi wa CCM tu.
Maana kuna wengine wanajua sana kuongea lakini ikifika kwenye voting records wanakuwa wanafyata baada ya kuimbishwa nyimbo za CCM.
Je, kuna njia ya kupata hizi voting records ili hata kesho keshokutwa zitumiwe kwenye kampeni?