Haya jamani wana Jf, jana na leo katika shirika la habari TBC1 kipindi cha jambo Tanzania Zito akiri kuwa siasa halikuwa chaguo lake la kwanza, kwa maana hii mi na tasfiri kwamba ni maamluki wa siasa, na anasema kuwa siasa hailipi anatamani kutoka lakini anashindwa. na amekiri kuwa ni kweli ameandika barua ya kujiuzulu ila tattizo ni kuwasilisha barua. mambo mengi ameongea, ambayo amenishangaza lakini tutamchambua siku nyingine.
kwa maana hii basi wanasiasa wengi ni mamluki na ndo maana tunashindwa kufanya siasa.
ni mtizamo tu!Haya jamani wana Jf, jana na leo katika shirika la habari TBC1 kipindi cha jambo Tanzania Zito akiri kuwa siasa halikuwa chaguo lake la kwanza, kwa maana hii mi na tasfiri kwamba ni maamluki wa siasa, na anasema kuwa siasa hailipi anatamani kutoka lakini anashindwa. na amekiri kuwa ni kweli ameandika barua ya kujiuzulu ila tattizo ni kuwasilisha barua. mambo mengi ameongea, ambayo amenishangaza lakini tutamchambua siku nyingine.
kwa maana hii basi wanasiasa wengi ni mamluki na ndo maana tunashindwa kufanya siasa.
This is not a breaking news,it has been said by himself in public since year 2007 that his first choice is to become a lecturer.
ndio Geoff huu ni mtazamo wangu, lakini kwa mtu kama zito siasa ya miaka 4 leo kusema anatamani kutoka, dont you see the issue here? alikuja kujaribu? au he fears to loose election?
Sielewi fikra na mtizamo wake juu ya Ustawi wa CHADEMA HASA UKIZINGATIA yeye ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA.Zitto kasisitiza tena kuwa uchaguzi mkuu ujao yeye ataiunga mkono NCCR huko Kigoma kusini ambako mgombea atakuwa rafiki yake Kafulila. Najaribu kufikiria uwanja wa kampeni utakavyokuwa pale kamanda wa anga atakapotua kumfanyia kampeni mgombea wa CHADEMA (Most likely, Hassanali ambaye ni mmoja wa wadhamini wa chama) huku Zitto na Mbatia wakiwaponda kwa kumnadi Kafulila. Patakuwa patamu!
Dah,kazi kwelikweli,yaani unamuwekea Zitto maneno mdomoni mkuu..lol
Kimsingi Siasa ni chaguo la pili la wanasiasa walio wengi,ndio maana wengi ama huanzia kwenye taaluma fulani na baadae huishia kwenye siasa,kwa mfano;
-Dk W.P. Slaa kabla ya kujiunga CHADEMA alikuwa ni padri wa kanisa Katoliki na Katibu mkuu wa T.E.C
-Prof.Ibrahim H. Lipumba kabla ya kujiunga C.U.F alikuwa ni mhadhiri na(kama sikosei) mshauri wa Rais wa masuala ya uchumi
-Freeman A. Mbowe yeye alikuwa mfanya biashara(na bado ni mfanya biashara mahiri tu)
Mifano ni mingi tu(hata viongozi wengi wa serikali iliyopo madarakani wengi wao ama walikuwa ni watumishi watendaji serikalini ama wafanya biashara)
So si vizuri na si sahihi kumuita Zitto ni mamluki wa kisiasa kwa vile tu amesema Siasa lilikuwa ni chaguo lake la pili
shapu huelewi nini? namaanisha kuwa anatamani kuacha siasa au tuseme imemshinda.