Haya jamani wana Jf, jana na leo katika shirika la habari TBC1 kipindi cha jambo Tanzania Zito amekiri kuwa siasa halikuwa chaguo lake la kwanza, kwa maana hii mi natasfiri kwamba ni mamluki wa siasa, na anasema kuwa siasa hailipi anatamani kutoka lakini anashindwa.
Na amekiri kuwa ni kweli ameandika barua ya kujiuzulu ila tatizo ni kuwasilisha barua. Mambo mengi ameongea, ambayo amenishangaza lakini tutamchambua siku nyingine.
Kwa maana hii basi, wanasiasa wengi ni mamluki na ndo maana tunashindwa kufanya siasa.
Haya jamani wana Jf, jana na leo katika shirika la habari TBC1 kipindi cha jambo Tanzania Zito amekiri kuwa siasa halikuwa chaguo lake la kwanza, kwa maana hii mi natasfiri kwamba ni mamluki wa siasa, na anasema kuwa siasa hailipi anatamani kutoka lakini anashindwa.
Na kama amekiri kuwa ameandika barua ya kujiuzulu ila tatizo ni kuwasilisha barua. Mambo mengi ameongea, ambayo amenishangaza lakini tutamchambua siku nyingine.
Kwa maana hii basi, wanasiasa wengi ni mamluki na ndo maana tunashindwa kufanya siasa.
Nimemuona zito akihojiwa TBC 1 leo asubuhi na kwa kweli sasa naamini yaliyotangulia kuelezwa,si mkweli!!
Anadai siasa sio chaguo lake la kwanza lakini anataka uenyekiti wa chama,for what?
Anapinga maamuzi ya vikao halali vya vyama hadharani wakati yeye ni kiongozi,anapotumia maneno "sikubaliani na maamuzi".
Zito ameshakuwa big headed and I believe he is going heading for a fall.
Wananchi hasa wapenda mabadiliko wanasononeka sana na kauli za Zito na masononeko yao ndio itakuwa laana kwa Zito
Binafsi mimi sikufuatilia kipindi hiki, lakini kama anasema tena on public kwamba maamuzi ya vikao yalikuwa batili huyu kijana si makini, anahitaji kumaliza matatizo yake ndani ya vikao vyao. lakini kama karudia tena kauli zake amefanya makosa makubwa, watanzania walifanya kosa sana pia kumwamini huyu dogo kama mwanamapinduzi wa kweli - nafikiri hizi njaa bado ni tatizo kubwa hasa kwa wanasiasa vijana.
Hata kama umetofautiana na viongozi wako kwa namna yoyote ni mwiko kusema mambo ya siri ya chama nje, ni sawa na kusema siri na mkeo kikojizi mbele za kadamnasi inakuwa aibu ya nani? hii ni miiko ya kisiasa. kwa nini msimalize matatizo yenu humo ndani ya chama chenu? kutuambia sisi mambo yenu ndiyo tuone wewe unaonewa?
Fuaten nyayo za wanasiasa wavumilivu, uanasiasa si kuagiza kitimoto na bia baridi jamani, kuna mifano bora mizuri ya kuiga kwa wakongwe walivyofanyiwa na chama chao
a) Mzee malechela asingekuwa mvumilivu asingekuwa hapo alipo, baada kukatwa jina lake baada ya kazi ngumu kuzunguka nchi nzima kutafuta wadhamini.
b) Mzee Salim asingekuwa mvumilivu asingekuw.a hapo alipo baada ya kusemwa yeye sijui ana damu ya uarabu......
Wapo wengi tu, Zitto ndugu yangu mimi nilifikiri hutaongea tena on Public sasa umerudia kosa tena? sasa kutembea na barua mfukoni kuna maanisha nini? office za chadema unazijua kwa nini usiipeleke? au unangoja wakuite wakuulize tuhuma zako?. We unakijua chadema vizuri hawatakuita ninachokiona kazi yako itangumu zaidi na umeanza kuisha polepole.
Unaweza kuwekwa kundi moja na Mrema usipokuwa makini nduguyangu
Nimemuona zito akihojiwa TBC 1 leo asubuhi na kwa kweli sasa naamini yaliyotangulia kuelezwa,si mkweli!!
Anadai siasa sio chaguo lake la kwanza lakini anataka uenyekiti wa chama,for what?
Anapinga maamuzi ya vikao halali vya vyama hadharani wakati yeye ni kiongozi,anapotumia maneno "sikubaliani na maamuzi".
Zito ameshakuwa big headed and I believe he is going heading for a fall.
Wananchi hasa wapenda mabadiliko wanasononeka sana na kauli za Zito na masononeko yao ndio itakuwa laana kwa Zito
inaelekea zitto kachoka na siasa ni bora aondoke mapema kuliko kufanya kazi ambayo yeye binafsi haipendi
Siasa anaipenda sana, ila kajichanganya mwenyewe. sasa yanamshinda ndiyo maana anakimbilia kusema kwa Public aone upepo utavuma vipi.
Sasa kama nakiri kwamba siasa sio chaguo lake la kwanza kwanini basi asiende kwenye chaguo lake la kwanza?
Huyu amejichanganya sana katika maamuzi yake. Nakumbuka alishasema anatarajia siku moja kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Du kama ubunge unamshinda kweli ataweza kuwa Rais? Inabidi tuangalie watu tunaowapa majukumu ya kuliongoza Taifa. Taifa hili linahitaji watu wenye sifa Zifuatazo (Seven traits associated with leaderships)
Drive
Desire to lead
Honest and Integrety
Self confidence
Intelligence
Job relevant knowledge
Extraversion
He has to look back on his shoulders

Mara nyingi watu tunawekeza kule tunakokupenda ila ni vizuri zaidi tukawekeza kule tunakokuweza.
Kimsingi hatujui ni sifa zipi zinatakiwa ili kuwa wanasiasa.