Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nyani Ngabu,
Sijui mmeanzia wapi katika kubadilishana maneno hadi kufikia level hii. Nilikuwa naperuzi haraka haraka ndipo nikakuta post yako hii ambayo haikunifurahisha hata kidogo. Nyani wewe ni veterani sana hapa kijiweni kiasi kuwa unategemewa kutoa mfano wa namna ya mawasiliano hapa; post hizi mbili nilizoona hapo juu na nyinginezo za namna hiyo ambazo sikuona hazireflect image hiyo. Nakushauri uende ku-edit post hizi ili kuondoa maneno yasiyoendana na calibre yako.
Zaidi ya hapo, tuendelee kumwombea mwenzetu Mh. Zitto apone haraka ili aweze kurejea kwenye mapambano.
Kichuguu, asante kwa maneno yako. Tumeanza asubuhi. Lakini kusema ukweli nimetumia lugha ambayo si ya kiungwana ingawa sikuwa nalumbana peke yangu. Kwa mtu aliye-objective ataona kwamba it takes two to tango. Lakini kwa vile mimi ni Nyani sitegemei chochote zaidi ya lawama zote kuelekezwa kwangu. I'm used to that and for this I will take the heat (though I don't think everything should be blamed on me). Kwa manufaa ya foramu, nachukua fursa hii kuomba radhi kwa watu walioudhika (ingawa nadhani si peke yangu ninayetakiwa kuomba radhi). Natanguliza shukrani zangu kwa kunielewa.