Zitto Alazwa Muhimbili

Zitto Alazwa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Nyani Ngabu,

Sijui mmeanzia wapi katika kubadilishana maneno hadi kufikia level hii. Nilikuwa naperuzi haraka haraka ndipo nikakuta post yako hii ambayo haikunifurahisha hata kidogo. Nyani wewe ni veterani sana hapa kijiweni kiasi kuwa unategemewa kutoa mfano wa namna ya mawasiliano hapa; post hizi mbili nilizoona hapo juu na nyinginezo za namna hiyo ambazo sikuona hazireflect image hiyo. Nakushauri uende ku-edit post hizi ili kuondoa maneno yasiyoendana na calibre yako.

Zaidi ya hapo, tuendelee kumwombea mwenzetu Mh. Zitto apone haraka ili aweze kurejea kwenye mapambano.

Kichuguu, asante kwa maneno yako. Tumeanza asubuhi. Lakini kusema ukweli nimetumia lugha ambayo si ya kiungwana ingawa sikuwa nalumbana peke yangu. Kwa mtu aliye-objective ataona kwamba it takes two to tango. Lakini kwa vile mimi ni Nyani sitegemei chochote zaidi ya lawama zote kuelekezwa kwangu. I'm used to that and for this I will take the heat (though I don't think everything should be blamed on me). Kwa manufaa ya foramu, nachukua fursa hii kuomba radhi kwa watu walioudhika (ingawa nadhani si peke yangu ninayetakiwa kuomba radhi). Natanguliza shukrani zangu kwa kunielewa.
 
Nyani alisha extend apology akakataliwa...!
Kuna watu wanakuwa na BIFU zisizoisha!
Yani msamaha hadi afunguliwe thread?
Wangapi hatujawahi hata kulalamika licha ya kutukanwa?
 
Nyani Ngabu,

Ukiendelea hivi I will offer you a 1 month SERVER (not nick) ban. Behave!

Lakini Invisible
mimi naona kufungia hakuna maana zaidi ya ku asana tuwe na maadili.

Maana hata uki ban si atatumia jina jingine tena mwendo ni ule ule yani paka na panya.

Labda kama una uwezo utumie Access list uwe una filter baadhi ya IP addr.

Na haya yanachochewa kwa kuruhusu kuzomewa baadhi ya watu na wengine kutoruhusiwa kufanya hivyo.

Mfano mkipingana kwa hoja utasikia upande unasema mtetezi wa mafisadi ,unalipwa kiasi gani,mara wewe makamaba,lowasaka mara mkapa map .
 
But I don't care....I'm here to pass time unlike many of you...none of you know me....I could've been one of the guys you met at the party the other day.....Trust me, I know what I'm doing and I just DON'T CARE......so if you think najidhalilisha....you're wrong coz Nyani Ngabu doesn't exist....he is just a mythical figure

Mods, mi napendekeza huyu mtu afutiliwe mbali ndani ya JF, hawa ndio mamluki wanaotumwa na watu kuja kutukana na kuleta propaganda za chuki, udini, ukabila, hasira na mgawanyo ndani ya jamii. kama mtu anadiriki kuandika maneno kama haya tunamhitaji hapa JF kufanya nini?

Mi napendekeza huyu afungiwe au ikibidi uanachama wake ufutwe kabisa
 
Karibu mara nyingi kama siyo zote mnapofikia kuitana majina au kurushiana madongo, aidha ni marafiki mnataniana, mmeishiwa hoja au mnatamaniana na kuadmiriana (whatever that means)! that is what I was taught.
 
Nyani Ngabu,

Sijui mmeanzia wapi katika kubadilishana maneno hadi kufikia level hii. Nilikuwa naperuzi haraka haraka ndipo nikakuta post yako hii ambayo haikunifurahisha hata kidogo. Nyani wewe ni veterani sana hapa kijiweni kiasi kuwa unategemewa kutoa mfano wa namna ya mawasiliano hapa; post hizi mbili nilizoona hapo juu na nyinginezo za namna hiyo ambazo sikuona hazireflect image hiyo. Nakushauri uende ku-edit post hizi ili kuondoa maneno yasiyoendana na calibre yako.

..kichuguu,

..inavyooneka nyani ana frustrations fulani hivi. lugha yake imekuwa vulgar hasa siku hizi.

..au yuko katika kipindi cha mpito,ambacho kinamfanya awe nasty.

..all in all it's disappointing.
 
Karibu mara nyingi kama siyo zote mnapofikia kuitana majina au kurushiana madongo, aidha ni marafiki mnataniana, mmeishiwa hoja au mnatamaniana na kuadmiriana (whatever that means)! that is what I was taught.

..kuna moderation kwenye utani.
 
Mhafidhina, mkamap...

Tumetoka mbali na Nyani... I know him, he knows me. Hatuna tabia ya kufungia watu hapa ovyo, ikitokea basi inakuwa ni ban ya kawaida tu ya nick kama aliyopata jmushi kipindi flani. Lakini kufanya IP denial inawezekana tu, haipendezi lakini ikilazimu hutolewa.

Hata hivyo, naelewa amenielewa na mjadala naomba usiwe Nyani... It's all about Zitto!
 
Karibu mara nyingi kama siyo zote mnapofikia kuitana majina au kurushiana madongo, aidha ni marafiki mnataniana, mmeishiwa hoja au mnatamaniana na kuadmiriana (whatever that means)! that is what I was taught.

My friend, do you know something I don't know?
 
Nyani alisha extend apology akakataliwa...!
Kuna watu wanakuwa na BIFU zisizoisha!
Yani msamaha hadi afunguliwe thread?
Wangapi hatujawahi hata kulalamika licha ya kutukanwa?

..halafu na wewe mambo yako hayajakaa vizuri.

..una vijimambo.
 
Mhafidhina, mkamap...

Tumetoka mbali na Nyani... I know him, he knows me. Hatuna tabia ya kufungia watu hapa ovyo, ikitokea basi inakuwa ni ban ya kawaida tu ya nick kama aliyopata jmushi kipindi flani. Lakini kufanya IP denial inawezekana tu, haipendezi lakini ikilazimu hutolewa.

Hata hivyo, naelewa amenielewa na mjadala naomba usiwe Nyani... It's all about Zitto!

Nimukupata mzee

Hapa utafikiri naota vile!!!!!
 
Jamani, tuendelee kuzifanya hoja zetu zisimame zenyewe. Kuita mtu jina lolote lile aidha iwe ni utani lakini unapofanya hivyo with malice haifanyi hoja zako kuwa na nguvu sana. Mada hii ni taarifa ya ugonjwa wa Zitto na inasikitisha kwamba tumekwenda pembeni na kuacha cha msingi.

Hadi hivi sasa kwa ubinafsi wetu hatujauliza Zitto anaendeleaje tangu breaking news iletwe hapa.. na mimi (bila shaka na wengine) licha ya kujua hali yake napata ugumu wapi pa kuweka habari hiyo (mbaya au nzuri) kwani siyo mazingira murua.
 
Habari ya Zitto imeshaulizwa. Mpaka kieleweke kajibu Zitto anaendelea vizuri ila hajaruhusiwa kama walivyotegemea Daktari kashauri abaki kwa uangalizi.
 
Invisible
futa hii thread nashauri uitoe kabisa kwenye chungu chako.Maana Mr Zito akipata ahuweni harafu akapitia hapa JF na kukuta ktk thread ya ungonjwa wake kuna mambo kama haya yatamsononesha.
 
Thanks for the news pls give us up dates
WISH HIM SPEEDY RECOVERY na yeye kapigwa kipapai it shows every MP should go with mganga wa tiba asili
 
Wazee kwa utamaduni wetu Tunapokuwa tunauguza mgonjwa maranyingi wengine wanakuwa wamehuzunika wengine vichwa chini wengine wanaomba Lakini sisi tunapiga makelele hapa na kupayuka sasa huyo mgonjwa wetu si atazidi kuumia baada ya kufarijika? tupunguzeni waungwana zipo baraza zake lakini sio hapa
 
Habari ya Zitto imeshaulizwa. Mpaka kieleweke kajibu Zitto anaendelea vizuri ila hajaruhusiwa kama walivyotegemea Daktari kashauri abaki kwa uangalizi.

asante... maana wengine hadi tulikuwa tunaruka posts tukiona majina.
 
..halafu na wewe mambo yako hayajakaa vizuri.

..una vijimambo.

Nyani alilalamika kuwa si yeye mwenyewe aliyekuwa akimtukana mama pale alipoona anatishwa kufungiwa!
Huu mjadala umesharekebishwa na INVISIBLE HAPA!
Na wewe kama una yako unatafuta nini?
Hivi wewe hujui kuwa hapa jf sasa tunafahamiana?
Kuna watu hata postings zao wala thread zao sijisumbui nazo tena!
Na wewe pia tumeshakwaruzana kwa sababu ya misimamo tofauti!
Hivyo kama hutaki kuanzisha mambo...Then PIGA KIMYA NA tujadiliane kwa HOJA!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom