Zitto Alazwa Muhimbili

Zitto Alazwa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
ukweli Uliukubali Kuwa Wangwe Ana Jazba...lakini Kuwa Ni Mkabila Hujawahi Sema!

Wewe Ni Anti Chagga Nakufahamu Sana!

Na Hata Mbowe Mwenyewe Humpendi Kabisa Hilo Nafahamu!

Lakini Kama Ingekuwa Ni Mbowe Tu Humpendi..maybe Ningekuelewa....lakini Hupendi Wachagga Period!

We Ni Mkabila Nakujuwa Vizuri!

Fyi I Am A Proud Chagga Woman! Need Say More!
 
Fyi I Am A Proud Chagga Woman! Need Say More!

No! I dont think so!
Na sasa huyo Mpaka kieleweke ni Mbowe!
Mi najuwa chuki zako dhidi yake...Lakini sasa unajibaraguza tu!
Huna msimamo!
Mi niko hapa kukata issue tu!
Na kumsapoti mtu ni baada ya reality!
Na mi si DELUSIONAL!
I got PRINCIPLE!
 
Naona kuna la zaidi unataka kwangu baada ya jaribio lako la kwanza kufail. Nipe ushahidi wa chuki zangu kwa Mbowe, Nipe hata ushahidi mmoja. Niliwahi kukuambia usinitukane kwani hujui mimi ni nani kwako! endelea tu iko siku tutakutana mahali muafaka na nitaprint matusi yote niuonyeshe ukoo mzima!
 
Nyani,

Angalia lugha yako, inakudhalilisha wewe mwenyewe badala ya kumdhalilisha unayemlenga.
 
Nyani,

Angalia lugha yako, inakudhalilisha wewe mwenyewe badala ya kumdhalilisha unayemlenga.

But I don't care....I'm here to pass time unlike many of you...none of you know me....I could've been one of the guys you met at the party the other day.....Trust me, I know what I'm doing and I just DON'T CARE......so if you think najidhalilisha....you're wrong coz Nyani Ngabu doesn't exist....he is just a mythical figure
 
I can see, that you really know what you are doing and you simply don't care!! keep it up if you think you are right....
 
I can see, that you really know what you are doing and you simply don't care!! keep it up if you think you are right....

I don't even care if I'm right or wrong. Who cares? Not me...JF hainilishi...hainivishi....haijanisomesha...haijanifanyia chochote mpaka hivi sasa.....
 
AZIZ aliposema Taifa limepotea linahitaji liiombewe alikosea??

Bwana Asema "Hakuna yeyote awezaye kuja kwangu bila ya mimi kumwita" .Na tazama Hakuna chakula kimtiacho mti unajisi maana cha ingia na kuelekea chooni.ILa kimutakacho kinywani ndio cha weza mtia mtu unajisi.

Na tazama maneno yenu yawe ndiyo ama hapana maana zaidi ya hayo yatoka kwa yule mwovu.
 
Ndumba hizo zinatafuta roho ya mtu ,yaani ule ukumbi wa Bunge ulikuwa usifanyiwe kikao chochote mpaka Serikali ifanye tambiko.
Yaani jamaa kaonekana anakwanga na kumwaga maunga ya mifupa ya watoto wachanga(Wameishagundua kwenye maabara kuwa ni unga wa mifupa ya binadamu ila wameamua kuficha kuepuka aibu)

..haya maneno una uhakika nayo?
 
Nyani Ngabu,

Sijui mmeanzia wapi katika kubadilishana maneno hadi kufikia level hii. Nilikuwa naperuzi haraka haraka ndipo nikakuta post yako hii ambayo haikunifurahisha hata kidogo. Nyani wewe ni veterani sana hapa kijiweni kiasi kuwa unategemewa kutoa mfano wa namna ya mawasiliano hapa; post hizi mbili nilizoona hapo juu na nyinginezo za namna hiyo ambazo sikuona hazireflect image hiyo. Nakushauri uende ku-edit post hizi ili kuondoa maneno yasiyoendana na calibre yako.

Zaidi ya hapo, tuendelee kumwombea mwenzetu Mh. Zitto apone haraka ili aweze kurejea kwenye mapambano.
 
Nyani Ngabu,

Ukiendelea hivi I will offer you a 1 month SERVER (not nick) ban. Behave!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom