Mgagagigikoko
JF-Expert Member
- Jul 1, 2007
- 474
- 0
Tuchange mchango wa kumpeleka India au South Africa akapimwe vizuri, hivi Zitto ana mke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuchange mchango wa kumpeleka India au South Africa akapimwe vizuri, hivi Zitto ana mke
Tanzania imekuwa nchi ya kutisha sana. Inapotokea mtu anagusa maslahi ya mafisadi halafu akaugua ghafla ni lazima watu tushtuke kutokana na mafunzo tuliyopata katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita. Amina aligusa mahala padogo tu, matokeo yake akaugua kimchezomchezo mwishowe yakawa makubwa hadi leo bado tunaomboleza. Balali alijua kitu fulani kuhusu wizi wa BOT tu, akaugua ghafla hadi leo hatujui alikuwa akijua nini.
Historia za namna hiyo zimenifanya niwe nachukulia kwa uzito sana swala lolote la mtu kuugua ghafla huku ikijulikana kuwa mtu huyo alikuwa anapingana na mafisadi. Inawezekana kabisa kuwa Mh. Zitto ana tatizo la kawaida kabisa lakini position yake katika mduara wa kisasa hapa kwetu inanifanya niwe concerned sana. Nitafurahi sana kupata updates kuhusu hali ya mheshimiwa huyu; kama kuna anayejua kuwa anaendeleaje tafadhali sana atuarifu.
Baada ya kuweka post hii nilipata taarifa kwa pembeni ikionyesha kuwa Mheshimiwa Zitto anaendelea vizuri. Mungu ashukuriwe
Ni kweli..Kazi ya Bungeni leo pia ilkuwa NGUMU SANA!
Tunasubiri kuona Mchango wake na pia mapendekezo yake hopefull yatafanyiwa kazi so that we can move forward.
Tuchange mchango wa kumpeleka India au South Africa akapimwe vizuri, hivi Zitto ana mke
Tuchange mchango wa kumpeleka India au South Africa akapimwe vizuri, hivi Zitto ana mke
pole Sana Zitto Kabwe. Mungu Atakuponya Ni Kawaida Binadamu Kuugua.
nyani Ngabu, Unanisikitisha Sana Kwa Post Zako Vipi Ndg Nani Kakuudhi Kiasi Hicho, Nimekuwa Nikisoma Threads Zako Lakini Sasa Unanitolea Imani, Tafadhali Cool Down.
mungu ampuzishe kwa amani