GE2025 Zitto ambwaga Nondo kura za maoni ubunge Kigoma Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Najua watapewa baadhi ya majimbo Ila Kwa zitto ni ngumu kwasababu huyu jamaa muda wowote anabadilika nafikiri CHAUMMA ndiyo watapewa majimbo mengi zaidi
Ambadilikie nani?

Hao ukibadilika wanazaa na wewe, yaani ule hela zao halafu ubadilike wakuangalie tu?

Zitto atabaki kuwatumikia katika siku zote za maisha yake.

Back
Top Bottom